IKIWA ni siku kadhaa baada ya kuibuka tuhuma za wanajeshi kupora vitu kadhaa katika uvamizi wa maduka ya Westgate, Wakuu wa idara ya Polisi nchini Kenya wamewaonya waandisi wa habari kuhusu walivyoripoti matukio katika sakata hilo lililosababisha mauaji, kujeruhi na uharibifu mkubwa. Onyo hili linakuja baada ya taarifa za wanajeshi kufanya uporaji katika jengo hilo wakati wakipambana na magaidi hao …
AfDB Board Approves US$28 Million Financing for JKIA Refurbishment
Nairobi, KENYA THE Board of the African Development Bank Group has approved financing the construction of an interim terminal at the Jomo Kenyatta International Airport (JKIA) to the tune of US$ 27.1 million as part of the emergency recovery measures undertaken by the Government of Kenya following the fire accident at the airport, which took place on 7 August 2013. …
Wanajeshi wa UN Wauwawa Nchini Mali
WANAJESHI wawili wa Kulinda amani wa Umoja wa Mataifa, wameuawa na wengine sita kujeruhiwa vibaya katika shambulizi la kujitoa mhanga Kaskazini mwa Mali. Raia wa kawaida pia walifariki kwenye shambulizi lengine la bomu wakati mshambuliaji alipoingiza gari lake lenye mabomu katika eneo la kukagua magari kabla ya kujilipua mwenyewe. Mtoto mmoja aliuawa na mwengine kujeruhiwa kwa mujibu wa taarifa za …
Usajili wa Wanafunzi Vyuo Vikuu EAC Waporomoka – Profesa
Na Anne Kiruku, EANA, Arusha KATIBU Mtendaji wa Baraza la Vyuo Vikuu la Afrika Mashariki (IUCEA) Prof. Mayunga Nkuya alisema mjini Nairobi, Kenya kwamba Kanda ya Afrika Mashariki imefikia asilimia nne tu ya usajili wa wanafunzi katika vyuo vya elimu ya juu ikiwa imeshuka kutoka asilimia tano za miaka iliyopita. “Kwa kweli, usajili hivi sasa unashuka,” alisema Prof Nkunya, huku …
Tatizo la Uhaba wa Wataalamu Kutawala Mkutano Nairobi
Na Anne Kiruku, EANA, Arusha MKUTANO wa siku tatu unaojumuisha wataalamu wa vyuo vikuuu vya umma vya Afrika Mashariki na watendaji wakuu wa sekta binafsi unatarajiwa kujikita zaidi kuhusu uhaba wa wataalamu na mahitaji ya soko la ajira. Mkutano huo wa Jukwaa la Wasomi na Sekta Binafsi na Maneosho ya mwaka 2013 utakaofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa …
Mazoezi ya Pamoja ya Kijeshi ya EAC Yaanza Burundi
Na James Gashumba, EANA-Arusha MAZOEZI ya pamoja ya kijeshi kwa majeshi ya nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) yamefunguliwa rasmi nchini Burundi mwishoni mwa waiki. Zoezi hilo la kijeshi lililopewa jina la Ushirikiano Imara 2013 linafanyika katika kambi ya jeshi ya Muzinda, iliyoko km 19 kutoka jijini Bujumbura, Burundi. Wanajeshi wapatao 269 kutoka majeshi ya EAC na wadau …