Meya ‘Chapombe’ Aokoka, Aapa Kutoonja Pombe Tena

MEYA wa Mji wa Toronto nchini Canada, Rob Ford, ambaye awali alikuwa mtu wa matingasi (mlevi) ameamua kuacha ulevi na ‘kuokoka’. Jambo hili limetokea baada ya Makansela wa Baraza la Jiji kupiga kura na kumpunguzia madaraka yake kutokana na unywaji. Rob Ford mwenye umri wa miaka 22 alisema kwa sasa ameamua kuasi pombe, baada ya kuokoka na kumtambua Yesu huku …

Watu 50 Wafukiwa na Kifusi, 20 Wauwawa kwa Bomu Somalia

WATU wawili wamefariki na wengine takriban 50 kukwama kwenye kifusi cha jengo baada ya paa la jumba la maduka lililokuwa likijengwa kuporomoka nchini Afrika Kusini. Inaarifiwa watu 29 wameweza kuokolewa. Madaktari kutoka kampuni binafsi ya Netcare 911 walifika kutoa huduma ya kwanza katika eneo hilo la Tongaat Kaskazini mwa Mji wa Durban. “Shughuli hii itachukua mda mrefu. Itatuchukua muda kuwafikia …

Mtu Mwenye Bunduki Ashambulia Ofisi za Wanahabari

Liberation newspaper MSAKO umeanzishwa mjini Paris, Ufaransa baada ya mtu mmoja mwenye silaha kushambulia ofisi za gazeti la Liberation na pia kufyatua risasi nje ya benki ya Societe Generale. Polisi wanasema mtu huyo aliteka gari eneo la Nanterre, karibu na La Defense, na kumlazimisha dereva wa gari hilo kumpeleka hadi Champs Elysees, ambako aliteremka karibu na stesheni ya treni ya …

AfDB Board Approves US120 Million Financing for Nairobi’s Outer Ring Road

Nairobi, KENYA, THE Board of the African Development Bank on Wednesday November 13th approved US$120 million financing for the Nairobi Outer Ring road project which involves the improvement of the existing single carriageway road to a 2-lane dual carriageway complete with service roads, grade separated intersections, pedestrians–foot-over bridges, walkways and cycle tracks over the entire length of the road. The …

Mapigano Mapya Yazuka Libya Watu 40 Wauawa

MAPIGANO mapya yamezuka mjini Tripoli Libya Novemba 16, 2013 wakati idadi ya watu waliouawa katika mapigano wakati wa maandamano ya kupinga wanamgambo ikipanda na kufikia watu 43. Zaidi ya watu 450 wamejeruhiwa wakati maandamano siku ya ijumaa yalipozusha mapigano katika mji huo mkuu baina ya makundi ya wanamgambo ambayo yaliendelea usiku kucha, amesema waziri wa sheria Salah al-Marghani. Waziri mkuu …

UN Yang’ang’ania Kenyatta na Ruto Kushtakiwa Sasa

BARAZA la Usalama la Umoja wa Mataifa (UN) limetupilia mbali ombi la Umoja wa Afrika (AU) kutaka kuahirishwa kwa mwaka mmoja kesi dhidi ya Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta, na Naibu wake William Ruto, katika Mahakama ya ICC. Ombi la serikali ya Kenya la kutaka kuahirishwa kwa kesi hiyo ya uhalifu liligonga ukuta baada ya wanachama 7 kati ya 15 …