Nelson Mandela Kuzikwa Kijijini Qunu Desemba 15, Mazishi Yake Haijawahi Tokea…!

RAIS wa Afrika Kusini, Jacob Zuma amesema kuwa Hayati Nelson Mandela anatarajiwa kuzikwa Desemba 15 ya Jumapili katika Kijiji cha Qunu Mkoa wa Eastern Cape, nchini Afrika Kusini. Rais Zuma ametoa kauli hiyo ikiwa ni siku moja baada ya kiongozi huyo maarufu duniani, Mandela kufariki dunia. Wananchi wameendelea kujitokeza katika sehemu nyingi za Afrika Kusini wakiomboleza kifo cha kiongozi huyo. …

BREAKING NEWS: Mandela Aaga Dunia!

Kwa masikitiko makubwa, habari zilizotufikia hivi punde kutoka CNN, zinasema mzee wetu Nelson Mandela, ambaye ni baba wa taifa la Afrika ya Kusini, na kiongozi mwenye heshima kubwa na mchango mkubwa barani Afrika, amefariki dunia. Taarifa kutoka CNN ilisema kwamba “Nelson Mandela, revered statesman who led South Africa out of apartheid, has died at 95, country’s president says.” — CNN …

ICC Yarekebishwa Baadhi ya Sheria za Mkataba yake

WANACHAMA wa Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu, ICC, wamerekebisha baadhi ya sheria za Mkataba wa mahakama hiyo hapo jana kutoa nafasi kwa washtakiwa kufuatilia kesi zao kupitia vidio. Marekebisho hayo pia yatakubali viongozi wanaoshikilia nyadhifa za juu kutohudhuria baadhi ya vikao katika mahakama hiyo. Hatua hii inasemekana kumlenga rais wa Kenya Uhuru Kenyatta ambaye kesi dhidi yake katika mahakama hiyo …

Reli Itakayounganisha Maziwa Makuu Yazinduliwa Kenya

KENYA imezindua rasmi ujenzi wa njia ya Reli itakayounganisha kanda ya Afrika Mashariki na eneo la maziwa makuu ujenzi utakaofadhiliwa na serikali ya China. Reli hiyo itaunganisha Kenya na Sudan Kusini, DR Congo na Burundi. Sehemu ya kwanza ya njia hiyo ya reli , itaunganisha bandari ya Mombasa na Mji mkuu Nairobi na kupunguza muda wa safari kati ya miji …

ICC Yaendelea Mng’ang’ania Rais Uhuru wa Kenya

MAHAKAMA ya Kimataifa ya kushughulikia kesi za uhalifu wa kivita, ICC imetengua uamuzi wake wa awali uliomruhusu Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta kutohudhuria baadhi ya vikao vya kesi yake ya uhalifu wa kivita inayomkabili. Mahakama hiyo imesema kwa sasa ni lazima Kenyatta afike mbele ya mahakama hiyo kusikiliza kesi yake na ushahidi unaotolewa dhidi yake. Imesema maombi yoyote ya baadaye …

U.K. Police: Slavery Suspects are From India, Tanzania

LONDON (AP) — U.K. police said Saturday the two suspects in a major slavery case are from India and Tanzania and came to Britain in the 1960s. Police believe two of the three women victims, who were allegedly held against their will for over 30 years, met the male suspect in London “through a shared political ideology and that they …