Uganda Sasa Mashoga, Wasagaji Kufungwa Maisha

BUNGE la nchini Uganda limepitisha mswaada utakaowabada watakao tiwa hatiani kushiriki mapenzi ya jinsia moja kuwa sheria. Mswaada huo unangojewa kuwa sheria kamili baada ya Rais wa nchi hiyo Yoweri Museveni kuutia saini. Mswaada huo wa kupinga mapenzi ya jinsia moja na usagaji ulipitishwa na bunge hivi karibuni na inasemekana kuwa mtu yeyote atakaye kuwa na taarifa za watu wanaofanya …

Waafrika Kusini Wamaliza Kuuaga Mwili wa Shujaa Mandela

MISURURU mirefu ya watu na ya kushangaza wenye huzuni wanaendelea kupita mbele ya jeneza lililofunikwa nusu, la shujaa wao wa taifa marehemu Nelson Mandela na kutoa heshima za mwisho. Umati wa watu wamepanga foleni tangu alfajiri Mjini Pretoria wakitaraji kumpa hishma za mwisho shujaa huyo kabla ya maiti yake kusafirishwa katika kijiji alikozaliwa ambako ndiko atakakozikwa siku ya Jumapili. “Kumuona …

‘Mtafsiri Lugha za Ishara Ibada ya Nelson Mandela Alidanganya’

SERIKALI ya Afrika Kusini imesema kampuni iliyotoa tafsiri kwa lugha za ishara wakati wa ibada ya kumbukumbu kifo cha Nelson Mandela ilidanganya. Imesema kampuni iliyomtoa mtafsiri huyo wa lugha za ishara imekuwa akidanganya kwa miaka mingi huku ikionekana kutoa tafsiri ya kiwango cha chini. Wataalamu wa lugha za ishara wamesema mtafsiri huyo wa lugha za ishara aliyefanya kazi hiyo, Thamsanqa …

Mama Salma Atoa Changamoto kwa Viongozi Juu ya Elimu ya Afya

Na Anna Nkinda – Cape Town, Afrika ya Kusini MKE wa Rais Mama Salma Kikwete amewataka viongozi wa Serikali, Taasisi za kijamii, washirika wa maendeleo na wahisani kutoka nchi za ukanda wa Afrika ya Mashariki na Kusini kushirikiana na kuandaa programu za pamoja ambazo zitaongeza elimu ya afya ya ujinsia na huduma za afya ya uzazi kwa vijana kwani wao ni nguvu kazi …

Wabunge Nchini Uganda Wanunuliwa ‘iPads’

SERIKALI nchini Uganda imewanunulia kompyuta ya kisasa (iPads) wabunge wake wote ikiwa ni hatua ya kuboresha utendaji kazi hatua iliyolalamikiwa na baadhi ya wananchi na wanaharakati nchini humo. Ofisa Mkuu wa Bunge nchini humo amesema vifaa hivyo vitawafanya wabunge kuwa makini wakati wa vikao vya bunge. Kamishna wa bunge Emmanuel Dombo amesema kuwa wabunge sasa wanaweza kupata stakabadhi zao rasmi …