RAIA 70 waliokamatwa hivi karibuni Jijini Mombasa Kenya, katika fujo zilizotokea kwenye Msikiti wa Musa wameshitakiwa katika mahakama ya Mombasa na kukutwa na kesi ya kujibu dhidi ya tuhuma zinazowakabili. Raia hao wanakabiliwa na mashitaka saba yanayohusiana na ugaidi yakijumuishwa kuwa wanachama wa kundi la kigaidi la Al Shabaab na wamewekwa rumande hadi Februari 26 ambapo mahakama itatoa uamuzi kuhusu …
Applications to the 2014 Fellowship program for journalists sponsored by the Dag Hammarskjold Fund for Journalists
Picture by Globalcalendar.info The Dag Hammarskjöld Fund for Journalists is now accepting applications from professional journalists from developing countries for its 2014 fellowship program. The application deadline is March 31, 2014. The fellowships are available to radio, television, print and web journalists, age 25 to 35, from developing countries who are interested in coming to New York to report on …
Meet The Tech Entrepreneur Bringing The Digital Revolution To Africa
Thanks to Juliana Rotich, a Kenyan native and tech entrepreneur, the digital revolution is making headway in Africa. (Photo provided by Juliana Rotich) By Natalie Burg As Juliana Rotich explained in a June 2013 TED video, in some ways, the digital revolution has rippled through the world much like the scientific and industrial revolutions before it: inequitably. “These revolutions have …
Taasisi ya Kimataifa Kutoa Bima kwa Wakulima Mil. 1 EAC
Na Ronald Ndungi, EANA- Arusha TAASISI ya Kimataifa ya Fedha (IFC) imetiliana saini makubaliano ya dola za Kimarekani milioni 3.9 sawa na Sh. bilioni 6.2 za Tanzania zitakazotumika kutoa bima kwa wakulima wapatao milioni moja katika nchi wananchama wa Jumuiya ya Afrika mashariki (EAC) kwa kipindi cha miaka miwili. Kiongozi wa Kanda wa IFC, David Crush aliwaambia waandishi wa habari …
Duka Kuu la Uchumi Kenya Kujitanua EAC
Na Ronald Ndungi, EANA-Arusha DUKA Kuu la Uchumi wa Kenya limejipanga kujitanua katika nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), Afisa Mtendaji Mkuu wa Duka hilo, alisema mwishoni mwa wiki. Ofisa huyo, Jonathan Ciano alisema fedha za kufanya upanuzi huo zitapatikana Machi mwaka huu. “Tunataka kujitanua katika nchi zote wanachama wa EAC ili kunufaika na uwezo wa …
Kumbe Hata Ulaya Rushwa ni Tatizo…!
UMOJA wa Ulaya umezindua ripoti ya kwanza ya juhudi za kupambana na rushwa, huku ikionesha rushwa ipo kila mahali. Ripoti hiyo inabainisha hali katika nchi anuai na kutoa ushauri wa namna ya kupambana na rushwa. Msemo wa ‘Rushwa ni adui wa haki’ umezoeleka zaidi katika nchi zinazoendelea. Lakini hata kwenye nchi zilizoendelea, rushwa bado ni tatizo sugu. Akizindua ripoti hiyo, …