Hatujaweka CCTV Madarasani Kwa ajili ya Kudhibiti Ngono – Prof CBE

Na Aron Msigwa – MAELEZO MKUU wa Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE) kampasi ya Dar es Salaam, Prof. Emmanuel Mjema amesema habari zilizoandikwa na vyombo vya habari kuwa uongozi chuoni hapo umeweka kamera (CCTV) madarasani kwa ajili ya kudhibiti ngono madarasani si za kweli na kwamba zililenga kukidhalilisha chuo na kuipotosha jamii kufuatia kuendelea kufanya vizuri katika kulinda maadili …

Mzozo Waibuka Burundi Kuelekea Uchaguzi Mkuu

POLISI wa kukabiliana na ghasia nchini Burundi jana walivunja mkutano wa chama cha upinzani cha UPRONA mjini Bujumbura, Burundi na kusababisha makabiliano kati ya wanachama wa chama hicho na polisi hao. Tukio hilo linaonekana kusababisha pia kupamba moto zaidi kwa mzozo wa kisiasa ambao umekuwa ukitokota nchini humo wiki za hivi karibuni, wakati Burundi ikielekea kwenye uchaguzi mkuu mwakani. Polisi …

Mazungumzo ya Syria Yashindwa Kufikia Suluhu

MSULUHISHI wa kimataifa Lakhdar Brahimi ameyafunga mazungumzo ya ana kwa ana ya kutafuta suluhu kati ya Serikali ya Syria na upinzani bila ya kupata ufumbuzi wa kuleta amani. Mazungumzo hayo yaliyofanyika chini ya nusu saa Februari 15, 2014 yameweka mustkakabali wa suluhu kuwa ndoto baada ya kufungwa pasipo taja tarehe kwa ajili ya duru la tatu la mazungumzo. Baadaye Brahimi …

Ujumbea wa Katibu Mkuu wa UN, Maadhimisho ya Siku ya Redio Duniani

SIKU ya Redio Duniani inatambua nafasi ya kipekee na athari za chombo ambacho kinawafikia wasikilizaji wengi zaidi duniani kote. Maadhimisho ya mwaka huu yanaweka umuhimu katika haja ya watangazaji wa redio kila mahali kukuza sauti za wanawake na kuongeza nafasi wa wanawake ndani ya mashirika ya utangazaji. Masafa ya redio mara nyingi yamekuwa nyuma linapokuja suala la usawa wa kijinsia. …