UMOJA wa Mataifa (UN) umesisitiza mataifa yote ulimwenguni kuhakikisha yanafuata usawa wa kijinsia kwa wanawake na wasichana na si tu kwa sababu ni suala la haki za msingi za binadamu, lakini kwa sababu maendeleo katika maeneo mengine mengi yanategemea suala hilo. Ujumbe huu unaoenda sambamba na maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani umetolewa na taasisi hiyo ya kimataifa katika ujumbe …
AfDB Commits US$ 930 million Towards Job Creation in New 5-Year…!
THE Board of the Africa Development Bank Group (AfDB) on Wednesday, 5th March 2014 approved the Country Strategy Paper (CSP) for Kenya, which articulates the Bank’s priority areas of support to Kenya from 2014-2018. The CSP supports the country’s ambitions and addresses its main developmental challenges by promoting job creation as the overarching objective. Bank lending to Kenya during the …
Ukraine Yatangaza Vita na Urusi
UKRAINE imetangaza kujiandaa kwa vita baada ya Rais Vladimir Putin wa Urusi kutangaza kwamba ana haki ya kuivamia nchi hiyo na kusababisha malumbano makubwa kuwahi kushuhudiwa tokea kumalizika kwa Vita Baridi. Waziri Mkuu wa Ukraine Arseny Yatseniuk ambaye ameshika madaraka akiwa kama kiongozi wa Serikali inayounga mkono mataifa ya magharibi baada ya Rais Viktor Yanukovich mshirika wa Urusi kuikimbia nchi …
Kupinga Ushoga Kwaiponza Uganda, Yanyimwa Misaada…!
WAFADHILI wameanza kufunga ushirikiano wa kuipa msaada nchi ya Uganda baada ya Rais Yoweri Museveni kutia saini muswada wa taifa hilo kupinga mapenzi ya jinsia moja wiki iliyopita. Tangu tamko la nchi hiyo kupinga mapenzi ya jinsia moja katika vyombo vya habari tayari nchi tatu za Ulaya zimeamua kukata misaada yao kwa nchi ya Uganda kiasi ambacho ni mamilioni ya …
Marekani Yaionya Urusi Kutoivamia Ukraine
NCHI ya Marekani imeionya Serikali ya Moscow isithubutu kutumia nguvu za kijeshi dhidi ya Ukraine. Hatua hii imekuja imefikiwa siku moja baada ya nchi ya Urusi kuamuru kufanyika kwa mazoezi ya kijeshi yanayoshirikisha askari wapiganaji 100,000 na nusu kwenye mpaka wake na Ukraine . Taarifa zinasema kitendo cha kujitokeza kwa wanajeshi wa Urusi kwenye mpaka na Ukraine kumeimarisha uhasama ulioko …
Uganda Yapitisha Sheria ya Kupinga Ushoga
RAIS Yoweri Museveni ametia saini muswaada wa sheria dhidi ya ushoga na usagaji. Hatua hiyo ya Museveni inakaidi miito iliyotolewa na wafadhili kutoka nchi za Magharibi akiwemo Rais Barrack Obama wa Marekani. Sheria hiyo mpya itamaanisha mtu yoyote atakayekutwa na hatia ya kushiriki katika vitendo vya kufanya mapenzi ya jinsia moja atakamatwa na kushatakiwa akikabiliwa na adhabu ya kifungo cha …