Mchakato Shirikisho la Kisiasa EAC Kuanza 2024

Na Ronald Ndungi, EANA-Arusha MCHAKATO wa shirikisho la kisiasa la Afrika Mashariki unaweza kuanza mwaka 2024, afisa mmoja wa Kenya alisema Jumatatu. Mkurugenzi Msaidizi Mwandamizi wa Masuala ya Sisa, Judy Njeri aliwaambia waandishi wa habari Nairobi, Kenya kwamba mazungumzo juu shirikisho yataanza baada ya utekelezaji kamili wa Umoja wa Fedha, inaripoti shirika huru ya habari ya Afrika Mashariki (EANA). “Rasimu …

Mlipuko waua watu 6 katikati ya jiji la Nairobi.

Mlipuko katika eneo ambalo ni maarufu kwa watu wenye asili ya kisomali umeua watu 6 na wengine kadhaa wamejeruhiwa. Mlipuko huo umetokea siku ya Jumatatu, “the National Disaster Operations Centre” imeeleza. Hamna mtu au kikundi kilichojitokeza na kusema kimehusika na tukio hilo. Matukio kama haya yamekuwa yakihusishwa na kikundi cha Al Shabaab, kundi hili lilivamia watu waliokuwa katika “Shopping mall” …

VIDEO: TB JOSHUA : MISSING PLANE WILL BE FOUND THIS WEEK

Nigerian celebrity preacher TB Joshua has directed Malaysian authorities and other institutions looking for the missing Malaysian plane to look “between Indonesia and the Indian Ocean.” According to him, authorities must go deep in the ocean and they will find scattered debris of the aircraft. Flight MH370 took off from Kuala Lumpur International Airport just after midnight last week on …

Rais Kenyatta Awataka Wana EAC Kutoa Kipaumbele Masuala ya Usalama

Na Ronald Ndungi, EANA, Arusha RAIS Uhuru Kenyetta wa Kenya, amezitaka nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) kutoa kipaumbele katika mtangamano wao kwenye sekta ya ulinzi na usalama. Akifungua kikao cha 22 cha Bunge la Afrika Mashariki (EALA) mjini hapa Jumanne, Rais huyo alisema kwamba ugaidi bado ni tishio kubwa kwa jumuiya hiyo.   “Hatua yoyote ya nchi …

Wakazi Mil. 20 EAC Wakabiliwa na Umasikini Sugu

Na Ronald Ndungi, EANA, Arusha JUMUIYA ya Afrika Mashariki (EAC) ina jumla ya wakazi zaidi ya milioni 20 wanaokabiliwa na umasikini sugu, watafiti wamebainisha mwishoni mwa wiki.   Mkurugenzi wa Kanda wa Taasisi ya Maendeleo Afrika (DIA), Charles Ntale aliwaambia waandishi wa habari mjini Nairobi, Kenya kwamba kama hakutakuwa na sera za makusudi za kupambana na umasikini, takwimu hizo zitaongezeka …