Kambi ya UN Yashambuliwa Sudan Kusini, Watu Wauwawa

WATU wenye silaha wamewaua raia kadhaa waliokuwa wamehifadhiwa katika kituo cha Umoja wa Mataifa mjini Bor katika Jimbo la Jonglei nchini Sudan Kusini, katika mauaji yaliyoelezwa na waziri kuwa ni ya kulipa kisasi. Balozi wa Marekani katika Umoja wa Mataifa Samantha Power, alisema watu wasiopungua 20 waliuawa jana, baada ya raia waliojihami kwa silaha kuvamia kituo hicho cha Umoja wa …

Msako wa Wasichana Waliotekwa Waendelea Nigeria

MAOFISA wa usalama, wawindaji na walinzi wanaendelea kuwatafuta karibu wasichana 100 wa shule waliotekwa nyara kaskazini mashariki mwa Nigeria. Wasichana hao walitekwa nyara na kundi la Boko Haram siku ya Jumatatu. Jeshi limekana taarifa yake ya awali iliyosema kuwa wengi wa wasichana hao walikuwa wamefanikiwa kutoroka. Karibu wasichana thelathini wameaminika kutoroka kutoka kwa watekaji wao lakini huenda wengine 99 wakawa …

Boko Haram Wawateka Wanafunzi wa Kike Nigeria

JESHI la Polisi Nchini Nigeria limesema kuwa Shule ya bweni ya Wasichana imeshambuliwa katika Jimbo la Borno Kaskazini Mashariki mwa nchi hiyo huku baadhi ya wasichana wakitekwa nyara. Wazazi wanasema kuwa zaidi ya wasichana miambili wametekwa nyara na washambuliaji hao. Kwa mujibu wa taarifa zinazohusiana na siasa nchini humo zinasema washambuliaji hao wanaaminika kuwa ni wanachama wa kundi la wapiganaji …

Marekani Yaionya Urusi Mzozo wa Ukraine

MAREKANI imeonyesha wasiwasi wake kuhusu kile ilichokitaja kama harakati za kundi fulani linalotaka kujitenga ambalo limekuwa likisaidiwa na Urusi kuchochea ghasia mashariki mwa Ukrain. Kufuatia kutekwanyara kwa vituo vya polisi katika miji kadhaa ya mashariki mwa Ukrain, waziri wa maswala ya kigeni nchini marekani John Kerry amesema kuwa mashambulizi hayo ya watu waliojihami na silaha za Urusi yalifanyika kwa mpangilio. …

Novartis and Malaria No More Provide two Million Antimalarial Treatments to Children in Zambia

  NOVARTIS (NVS) (http://www.novartis.com) announced today that two million treatments of its pediatric antimalarial are arriving in Zambia thanks to the ongoing efforts of the company in collaboration with Malaria No More’s Power of One campaign. Zambia is the first beneficiary country of this campaign sponsored by Novartis. One million treatments of Coartem® Dispersible have been funded through public donations …

Picha ya Rais Obama Yazua ‘Kasheshe’…!

IKULU ya Marekani ‘White House’ imekilalamikia kitendo cha kampuni ya simu ya Samsung cha kutumia picha ya Rais Barack Obama aliyojipiga na mchezaji maarufu nchini Marekani, David Ortiz kama tangazo la kibiashara. Picha hiyo ilipigwa na Ortiz mwenyewe akiwa na Rais Obama akitumia simu yake ya Samsung mapema wiki hii. Hata hivyo kampuni ya Samsung iliisambaza kupitia mtandao wa kijami …