ANC Yashinda Uchaguzi Mkuu Afrika Kusini

CHAMA cha ANC kimepata ushindi mkubwa katika uchaguzi uliofanyika Jumatano ya wiki iliyopita. Tume ya uchaguzi nchini Afrika kusini imetangaza matokeo rasmi ya uchaguzi mkuu huo na kusema kuwa chama tawala cha ANC kimejipatia ushindi mkubwa wa asilimia 62. Katika hotuba yake kwa taifa Rais jacob Zuma amesema kuwa matokeo hayo ni ishara njema kwamba raia nchini humo wana imani …

Mchezaji wa Soka Marekani Ajitangaza Shoga

MCHEZAJI mmoja wa timu ya mpira wa miguu ya nchini Marekani, National Footbal League (NFL), Michael Sam amejitangaza kuwa yeye ni shoga. Sam anakuwa ni mchezaji wa kwanza kutangaza wazi kwamba yeye ni shoga katika mchezo wa mpira wa miguu Marekani. Sam alikuwa ameteuliwa na timu ya Saint Louis Rams katika siku ya mwisho ya usakaji wa vipaji katika mchezo …

Gordon Brown Aisifia Tanzani Kielimu Barani Afrika

MJUMBE Maalum wa Umoja wa Mataifa kuhusu Elimu ya Kimataifa – UN Special Envoy for Global Education – na Waziri Mkuu wa zamani wa Uingereza, Gordon Brown amesema kuwa Tanzania imefanya vizuri zaidi kuliko nchi nyingine yoyote ya Afrika katika uandikishaji wa watoto kuanza shule. Aidha, Brown amesema kuwa hana uhakika kama Watanzania wanajua fika kuwa nchi yao imefikia mafanikio …

Waafrika Kusini Wapiga Kura Kuchagua Wabunge

RAIA wa Afrika Kusini wanapiga kura kuwachaguwa wabunge, huki pakiwa kuna uwezekano wa chama tawala cha ANC kuendelea kutawa kwa mujibu wa utafiti uliofanywa toka kwa wapiga kura. Vituo vya kupigia kura ili kutoa fursa kwa raia kutekeleza wajibu wao wa kidemokrasia. Huu ni uchaguzi wa bunge wa kwanza ambapo vijana walozaliwa baada ya kumalizika utawala wa ubaguzi, watashiriki. Baadhi …

Boko Haram Kuwauza Wasichana Iliyowateka, Polisi Watumia Fedha Kuwasaka

KUNDI la Boko Haram limekiri kuwateka nyara wasichana wa shule moja nchini Nigeria na limesema kuwa linajiandaa kuwauza. Polisi nchini Nigeria wameahidi kumtunuku dola laki tatu za marekani yeyote atakayetoa habari zitakazowasaidia kuwapata zaidi ya wasichana mia mbili waliotekwa na kundi la wapiganaji wa boko haram mwezi uliopita. Juma lililopita wapiganaji wa Boko Haram walisema kuwa wasichana hao 200 kutoka …