Vifo vya bomu Nigeria vyafikia 118
Maafisa nchini Nigeria wamesema kuwa wamepata maiti 118 kufuatia shambulio la bomu katika mji wa Jos. Mabomu mawili yalilipuka mojawepo ikiwa imefichwa ndani ya gari na kulipuka katika soko moja kubwa. Dakika 20 baadaye mlipuko wa pili ulitokea karibu na hospitali. Inahofiwa kuwa kuna maiti zaidi zilizonaswa kwenye vifusi vya majengo yaliyo poromoka kutokana na shambulio hilo. Kufikia sasa hakuna …
Raia 12 wa Kenya Wauawa Mpakani na Somalia
MAOFISA wa Kenya wamethibitisha kuwa watu 12 wameuawa katika mpaka wa nchi hiyo na Somalia, katika shambulio linaloshukiwa kufanywa na wanamgambo wa Al shabaab. Watu wengine 7 raia wa Kenya hawajulikani waliko. Shambulio hilo limetokea siku moja baada ya jeshi la anga la Kenya kuvamia kwa makombora maeneo yanayoshukiwa kuwa ngome za wapiganaji hao wa kiislamu, upande wa Somalia. Bado …
Wanajeshi wamshambulia kamanda Nigeria
WANAJESHI nchini Nigeria, wamemfyatulia risasi Kamanda wao Mkuu katika Mji wa Maiduguri Kaskazini Mashariki mwa nchi. Hata hivyo Meja Jenerali, Ahmed Mohammed alinusurika na kifo hicho. Shambulizi hilo lilifanywa kwenye gari lake katika kambi ya Jeshi ya Maimalari. Taarifa zaidi zinasema wanajeshi hao walifanya hivyo kwa kile kumlaumu kamanda huyo kwa mauaji ya wanajeshi wenzao walioshambuliwa na kundi la Boko …
17 Dead, Hundreds Trapped in Turkish Coal Mine
AN explosion and a fire Tuesday killed at least 17 workers at a coal mine in western Turkey and trapped another 200 or more underground, the country’s disaster agency said as it launched a massive rescue operation. A power distribution unit exploded Tuesday afternoon at a mine in the town of Soma, local official Mehmet Bahattin Atci told reporters. The …
Sekondari ya Mandera Yatembelewa na Mama Salma Kikwete
Na Anna Nkinda – Maelezo, Bagamoyo WANAFUNZI wa shule za Sekondari wilayani Bagamoyo wametakiwa kusoma kwa bidii na kufanya vizuri kwenye mitihani yao kwa kufanya hivyo wataweza kufanikiwa katika maisha yao kwani elimu ni mkombozi wa maisha ya binadamu. Mwito huo umetolewa hivi karibuni na Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo (WAMA) Mama Salma Kikwete wakati akiongea kwa nyakati tofauti na …