THE scheduled release follows calls from the families of the 239 passengers for the information to be made public, so it can be verified by independent experts. Malaysian transport minister Hishammuddin Hussein announced the data’s publication while on a visit to a new international airport near Kuala Lumpur. The aircraft has not been seen since it set off from the Malaysian …
Wanajeshi wa Kenya Wauwawa Somalia
SERIKALI ya Kenya imethibitisha kuwa maofisa wake wawili wa jeshi wameuawa na wengine wawili kujeruhiwa, baada ya wapiganaji wa Kiislamu wa Al Shaabab kufanya shambulio la kuvizia, baada ya magari yao kukwama barabarani huko Somalia. Ripoti zinasema msafara wa wanajeshi wa Kenya ulikuwa ukielekea eneo la Ras Kamboni wakati shambulio hilo lilipotokea. Kamanda wa polisi mjini Mombasa, Robert Kitur amethibitisha …
Sarakasi Zaendelea Uchaguzi Mkuu Malawi…!
UCHAGUZI Mkuu wa Malawi umeendelea kubeba sura mpya ya sarakasi za mapingamizi ya kisheria, baada ya Mahakama Kuu ya Lilongwe kuamuru Tume ya Uchaguzi nchini humo iendelee na mipango ya kazi zake bila kuingiliwa na mamlaka yeyote. Uamuzi huo umetokana na ombi la Chama cha Malawi Congress MCP kutaka mahakama hiyo izuiye amri ya Mahakama Kuu ya Blantyre iliyotaka Tume …
Uganda Yaongoza Vita Dhidi ya Utapiamlo
Na Ronald Ndungi, EANA, Arusha UGANDA inaongoza katika vita dhidi ya utapiamlo sugu na kuudhibiti miongoni mwa nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), kwa mujibu wa Shirika la Umoja Mataifa Linaloshughulikia Watoto (UNICEF). Mkuu wa Lishe wa UNICEF nchini Kenya, Grainne Moloney aliwaambia waandishi wa habari jijini Nairobi mwishoni mwa wiki kwamba Uganda ni nchi pekee …
Viongozi AfDB Kuijenga Afrika Kimiundombinu…!
Na Mwandish wetu- Kigali, Rwanda VIONGOZI wa Benki Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) wameahidi kuijenga Afrika itakayoendelea kuwa na umoja, mshikamano na yenye miundombinu ya uhakika. Kauli hiyo ilitolewa na Rais wa Benki ya AfDB, Dk. Donald Kaberuka alipokuwa akifunga Mkutano Mkuu wa 49 wa banki hiyo jijini Kigali, Rwanda. Rais wa Benki hiyo, Dk. Kaberuka alisema Benki itasaidia …
UN Yasema Boko Haram ni Magaidi wa Kimataifa
BARAZA la usalama la umoja wa mataifa hatimaye limeidhinisha kuwekewa vikwazo kundi la Boko Haram baada ya utekaji nyara wa takriban wasichana 300 wa shule katika eneo la Chibok Nigeria. Kundi hilo limeshutumiwa kuwaua maelfu ya watu nchini Nigeria katika miaka michache iliyopita. Nigeria ni mwanachama wa baraza la usalama la Umoja wa mataifa kwa kipindi cha miaka miwili. Kwa …