Kwa ufupi Hoja ya watetezi wa Kiingereza inajumuisha pia madai kuwa kuendelea kutumia Kiswahili, ni kuwafanya Watanzania washindwe kushindana kiuchumi katika dunia ya leo. Suala la matumizi ya lugha Tanzania limeleta ushindani mzito kati ya Kiswahili na Kiingereza. Hoja ya watetezi wa Kiingereza inajumuisha pia madai kuwa kuendelea kutumia Kiswahili, ni kuwafanya Watanzania washindwe kushindana …
Mahakama Afrika Kuanza Kikao Jumatatu Arusha
Na Mtuwa Salira, EANA MAHAKAMA ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu (AfCHPR) inaanza kikao chake cha kawaida cha 36 cha mwaka, kuanzia Machi 9 hadi Marchi 27, mwaka huu, katika makao yake makuu mjini Arusha, Tanzania. Majaji wa mahakama hiyo pamoja na mambo mengine watapokea na kujadili taarifa za mikutano miwili ya kawaida iliyopita na maombi mengine yaliyokwishawasilishwa …
Boko Haramu Wasababisha Uchaguzi Kuahirishwa
MKUU wa Tume ya Uchaguzi nchini Nigeria, Attahiru Jega, amesema upigaji kura hauwezi kufanyika nchini humo Jumamosi ijayo kwa sababu wanajeshi wanaotakiwa kulinda vituo vya kupigia kura wanatumika kupambana na kundi la Boko Haram. “Hatari ya kutumia vijana wetu katika jeshi na kuwataka watu watumie haki yao ya kidemokrasi, katika hali ambapo hawawezi kuhakikishiwa usalama wao, ndio jukumu letu kubwa. …
Nywele za Marehemu Lincoln Zauzwa Dola 25,000
VITU mbalimbali vya kumbukumbu za aliyekuwa rais wa 16 wa Marekani Abraham Lincoln vimeuzwa katika mnada mjini Dallas nchini Marekani na kupata dola 800,000. Msokoto mmoja wa nywele za rais huyo aliyeuawa umeuzwa kwa dola 25,000 lakini barua iliokiri kwamba vita vya wenyewe kwa wenyewe havikuwa vizuri haikuuzwa. Barua iliotiwa sahihi na naibu wake John Wlkes Booth iliuzwa kwa dola …
Kasisi wa Kwanza Mwanamke Aapishwa, Watoto wa Mubarak Waachiwa
KANISA moja la Kianglikana nchini Uingereza limemuapisha mwanamke wa kwanza kuwa kasisi. Mchungaji Libby Lane ameapishwa katika sherehe iliofanyika eneo la York Minster, na atakuwa Kasisi wa Stockport ikiwa ni miezi sita tu baada ya kanisa hilo kumpigia kura ili kumaliza utamaduni wake wa wanaume kuwa makasisi. Kasisi huyo alisema kuwa iwapo uchaguzi wake utawafanya wanawake kubaini uwezo wao basi …
Msaidizi Nelson Mandela Alaumiwa kwa Ubaguzi
MIAKA 20 ya kuwa msaidizi wa Nelson Mandela na kuwa mfano mwema maridhiano ya rangi baada ya miaka mingi ya ubaguzi nchini Afrika Kusini imefutwa katika ujumbe wa mtandao wa Twitter. Hicho ndio kisa kilichompata Zelda La Grange msaidizi binafsi wa Nelson Mandela aliyechaguliwa na shujaa huyo kumsaidia kwa kuwa familia yake ina mizizi ya jamii ya Afrikaaner. Jamii ya …