NDEGE za kivita za Jeshi la Kenya zimeshambulia maeneo ya wapiganaji wa kundi la Al-shabaab katika taifa jirani la Somalia, taarifa kutoka jeshi hilo zimesema. Ndege hizo zililenga maeneo mawili ya Jimbo la Gedo,linalotumiwa na wapiganaji hao kuvuka na kuingia Kenya, msemaji huyo ameongeza. Maeneo hayo mawili hutumiwa na wapiganaji hao kupanga mshambulizi nchini Kenya. Wanajeshi wa AMISOM walitarajiwa kupeleka …
Mtanzania Afunguwa Mgahawa Mkubwa Sweden Kuitangaza Tanzania
Mgeni rasmi Balozi wa Tanzania nchini Sweden, Mh. Dora Msechu (wa tatu kushoto) akiwa na mwenyeji wake Meya wa Trollhattan, Paul Akerlund (wa tatu kulia), Afisa kutoka Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa nchini Tanzania, Tagie Daisy Mwakawago (kulia), Mmiliki wa mgahawa unaotoa huduma za chakula cha kitanzania unaofahamika kama “Lunch by Chef Issa” (The house of …
Kenya, Tanzania Wamaliza Mvutano wa Marufuku…!
HATIMAYE marais Uhuru Kenyetta wa Kenya na Jakaya Kikwete wa Tanzania wamekubaliana kufutilia mbali maagizo ya Mamlaka ya anga nchini Tanzania kupunguza idadi ya ndege za Kenya zinazotua nchini Tanzania na agizo la Wizara ya maliasili ya Kenya kupiga marufuku magari ya Tanzania kuingia katika uwanja wa ndege wa Jomo Kenyatta. Katika makubaliano hayo ndege za Kenya Airways sasa zitafanya …
Global Megatrends Will Drive Growth Opportunities in the Real Estate Industry Across the African Continent
GLOBAL megatrends, such as rapid urbanisation and demographic changes, will drive growth opportunities in the real estate industry across the African continent over the next five years. “The pace of change in the world is accelerating, with a series of transitions, known as global megatrends, transforming the way in which business and society operate,” says Ilse French, Real Estate Leader …
Watoto Wanaonyonya Muda Mrefu Wanaakili na Uwezo
WAKATI hivi sasa wazazi wengi hawapendi kuwanyonyesha watoto wao kwa muda mrefu huku wakiwa na madai na sababu tofauti, utafiti uliofanyika nchini Brazil hivi karibuni umebaini kuwa watoto wanaonyonya kwa muda mrefu wanakuwa na akili zaidi, wasomi, na wenye uwezo kifedha wanapokuwa watu wazima. Ripoti ya utafiti huo iliyochapishwa katika jarida la afya la Lancet Global Health unafuatilia makuzi ya …
Halmashauri Mpanda Yatumia bilioni 2.6 kwa Maendeleo
Na Kibada Ernest, Katavi HALMASHAURI ya Wilaya ya Mpanda mkoani Katavi kipindi cha mwaka wa fedha 2014/2015 imetekeleza miradi mbalimbali ya maendeleo yenye jumla ya thamani ya shilingi bilioni 2.6 katika sekta tofauti. Akitoa Taarifa ya utekelezaji wa miradi ya maendeleo kwa mwaka wa fedha 2014/2015, na mwelekeo wa mpango wa bajeti ya mwaka wa fedha 2014/2015 Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya …