SHIRIKA la Afya Duniani (WHO) limetoa tahadhari kuwa, ugonjwa wa zinaa wa kisonono, umeanza kuwa sugu dhidi ya dawa ya kupambana na ugonjwa huo. Kwa mujibu wa utafiti uliofanywa katika mataifa 77 tofauti Duniani, WHO imebaini kuwa maambukizi wa ugonjwa huo nchini Japan, Ufaransa na Uhispania, hayatibiki kabisa. Lakini hata hivyo, shirika hilo linasema wengi wanaoambukizwa ugonjwa huo wako …
Korea Kaskazini Yarusha Kombora Bahari ya Japan
KOREA Kaskazini imerusha kombora jingine la masafa marefu kutoka Jimbo la Magharibi hii ni kutokana na mamlaka ya Japan na Korea Kusini. Kombora hilo lilirushwa kutoka Bangyon Kaskazini mwa mkoa wa Pyongan kulingana na chombo cha habari cha Yonhap kikitaja duru za jeshi la Korea kusini. Tokyo imesema kuwa kombora hilo huenda lilianguka katika eneo la kiuchumi la bahari ya …
Moto Mkubwa Waua Watu Kadhaa London
MOTO huo katika jengo la Grenfell Tower ulianza majira ya saa 01:16, saa za Uingereza. Hata hivyo Idara ya wazima moto jijini London ilituma malori 40 ya kuzima moto huo. Watu kadha wamefariki baada ya moto mkubwa kuteketeza jengo refu usiku wa kuamkia leo mjini London. Wazima moto bado wanakabiliana na moto huo katika jumba la Grenfell Tower, …
Kiongozi Wabunge wa Congress Anusurika Kuuwawa kwa Risasi
KIONGOZI wa Wabunge waliowengi wa Bunge la Congress nchini Marekani, Steve Scalise amenusurika kufa baada ya kupigwa risasi na kujeruhiwa alipokuwa akihudhuria mazoezi ya mchezo wa baseball miongoni mwa wabunge. Yamkini watu wawili wamejeruhiwa, katika kile mashuhuda wanasema kuwa kisa cha umiminunaji wa risasi katika jimbo la Virginia mapema leo Jumatano. Seneta wa Republican, Rand Paul, anasema kuwa alisikia mlio …