Raia wa Burundi Wapiga Kura Kumchagua Rais Wao

UCHAGUZI wa Rais umeanza Burundi baada ya kumalizika kwa ghasia na maandamano ya miezi kadhaa iliyopita, hatimaye raia wa Burundi wamepiga kura ili kumchagua rais wao. Hata hivyo watu wawili wameuwawa usiku wa kuamkia leo katika Mji Mkuu wa Bujumbura. Vyombo vya habari vya kimataifa vinasema kuwa, milio ya risasi na gruneti zimesikika usiku kucha katika Mji Mkuu wa Burundi- …

Rais wa Zamani wa Chad Kufikishwa Mahakamani

RAIS wa zamani wa Chad Hissene Habre atafikishwa mahakamani nchini Senegal kwa makosa ya uhalifu dhidi ya binadamu, ukatili dhidi ya binadamu na uhalifu wa kivita. Kesi hiyo mjini Dakar ni ya kwanza ya aina yake ambapo nchi moja ya Afrika imemshitaki kiongozi wa zamani wa taifa jingine. Bwana Habre anashutumiwa kwa kuhusika na vitedo vya ukatili na mauaji ya …

Wanajeshi Wanne wa Marekani Wauwawa, 40 Walipuliwa Nigeria

MTU mwenye silaha amewaua askari wanne wa Jeshi la Majini la Marekani katika shambulio lililofanywa kwenye majengo mawili ya jeshi hilo katika Mji wa Chattanooga, Tennessee. Wanajeshi hao wote waliuawa katika jengo moja. Maofisa nchini humo wameyaita mauaji hayo kuwa ni Shambulio la ndani. Shirika la Upelelezi la Marekani FBI linalochunguza mauaji hayo, limesema halijajua bado kilichosababisha shambulio hilo. Kufuatia …

Rais Kikwete Awasili Uswisi, Aanza Vikao vya Kazi

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Jopo la Kimataifa linalochunguza jinsi dunia inavyoweza kujikinga na majanga ya magonjwa ya mlipuko katika miaka ijayo, Jakaya Kikwete, aliwasili mjini Geneva, Uswisi, Julai 14, 2015, kwa ajili ya kuendesha vikao vya Jopo hilo. Vikao hivyo vitakuwa ni awamu ya pili kwa Jopo hilo ambalo liliteuliwa Aprili, mwaka huu, 2015 …