BUNGE la Uingereza linatarajiwa kufanya kikao cha dharura baadaye leo kujadili juu ya ghasia ambazo zimeikumba miji kadhaa nchini humo. Taarifa zinaeleza Waziri Mkuu, David Cameron atawasilisha taarifa ya Serikali pamoja na harakati za polisi katika kuthibiti ghasia na uporaji huo. Hii ni mara ya tano wabunge Uingereza wamelazimika kukatiza likizo zao katika miongo mitano. Waziri Mkuu Cameron hii itakuwa …
Kambi ya mateso yagunduliwa Zimbabwe
IDHAA ya Habari ya BBC (Panorama) imegundua kambi ya mateso inayosimamiwa na Majeshi ya Usalama nchini Zimbabwe, iliyopo katika eneo lenye utajiri wa madini ya almasi, mjini Marange. BBC ilifanikiwa kuzungumza na walioathirika siku za karibuni ambao walielezea walivyopigwa sana na kudhalilishwa kijinsia. Madai hayo yanatolewa huku Umoja wa Ulaya EU ukishinikiza kuruhusu baadhi ya almasi zilizopigwa marufuku kutoka nchi …
Tall building a threat to Ikulu
By Bernard James The Citizen Reporter Dar es Salaam.The construction of a controversial 19-storey building overlooking State House has prompted security concerns, and the government has demanded to know who authorised the project in the area.The Citizen on Sunday has reliably learnt that State House has come down hard on authorities responsible for urban planning and issuance of building permits, …
Vurugu zazuka London, gari la Polisi lachomwa moto
KUNDI la waandamanaji waliokuwa wakifanya fujo Kaskazini mwa Mji wa London wamechoma moto magari ya polisi na kupora maduka mbalimbali hapo jana, baada ya kuandamana wakipinga kuuawa kwa mtu mmoja aliepigwa risasi na polisi siku ya alhamisi. Zaidi ya watu 200 walikusanyika karibu na kituo cha polisi cha Tottenham kabla ya maandamano hayo kugeuka kuwa vurugu. Taarifa ya Polisi mjini …
‘Maiti’ aamka mochwari Afrika Kusini
Afrika Kusini, RAIA mmoja wa Afrika Kusini ameamka na kujikuta yupo kwenye chumba cha kuhifadhia maiti mwishoni hivi karibuni, na kuanza kupiga kelele akitaka wahudumu wa chumba hicho wamtoe huku wao wakihofu na kudhani ni mzimu. Familia ya mtu huyo iliamua kutoa taarifa mochwari baada ya kudhani amekufa kwa kile kushindwa kumwamsha Jumamosi usiku na hivyo kuwasiliana na ofisi moja …
Lawmakers to vote on last-minute debt deal
WASHINGTON, Congressional leaders rushed to line up Republican and Democratic votes on Monday for a White House-backed deal to raise the U.S. borrowing limit and avert an unprecedented debt default. With scars still fresh from the months-long brawl over increasing the $14.3 trillion debt ceiling, a new fight was shaping over the incendiary topic of taxes. Global markets showed signs …