Washukiwa wa machafuko ya London kufikishwa mahakamani leo

Ni washukiwa wa kwanza kushtakiwa kwa vifo vilivyotokea wakati wa machafuko ya jijini London. Watu jumla ya watano walikufa kwenye machafuko yaliyoanza Jumamosi iliyopita. Mwanamume mmoja pamoja na kijana wanatarajiwa kufikishwa katika mahakama moja ya Birminghman leo kuhusiana na mauaji ya wanaume watatu waliogongwa na gari wakati walipokuwa wakikilinda kitongoji chao dhidi ya waporaji. Ni washukiwa wa kwanza kufikishwa mbele …

Wanawake Somalia hatarini kubakwa

Somalia, UMOJA wa Mataifa (UN) umearifu kwamba wanawake wanaoikimbia njaa Somalia wanazidi kuwamo katika hatari ya kufanyiwa vitendo vya ngono kwa mabavu, wanapokuwa njiani kuelekea kwenye kambi ya wakimbizi nchini Kenya. Wakati jumuiya ya kimataifa inaimirisha juhudi za kuyaokoa maisha ya mamiloni ya wasomali waliomo katika hatari ya kufa njaa, wanawake wa nchi hiyo wanaoikimbia njaa nchini mwao wanakuwamo katika …

President Kikwete congraturates Miss Kanza

THE President of the United Republic of Tanzania, His Excellency Jakaya Mrisho Kikwete has congratulated his Personal Assistant for Economic Affairs, Miss Elsie Kanza, on her appointment to the position of Head of Africa at the prestigious Institution – The World Economic Forum. Her appointment takes place effective Monday, August 8, 2011. In his statement, today, Friday, August 12, 2011, …

Marekani yataka dunia kuitenga Syria

WAZIRI wa Mambo ya Nje wa Marekani, Hillary Clinton amezitaka Serikali za nchi za Magharibi kuiwekea vikwazo nchi ya Syria kufuatia harakati za kijeshi dhidi ya waandamanaji wanaopinga Serikali. Amesema hatua kutoka Ulaya, China na India zinaweza kuathiri sekta ya nishati nchini Syria na kumshinikiza rais Bashar Al Asaad. Jumatano wiki hii Marekani ilitangaza kuiwekea vikwazo nchi ya Syria. Hata …

Wanawake wavutaji sigara hatarini zaidi!

Marekani. UTAFITI uliofanywa hivi karibuni umeonesha kuwa wanawake wanaovuta sigara wapo hatarini kuliko wanaume wavutaji wa ulevi huo. Wanawake wapo hatarini kushambuliwa na maradhi ya moyo zaidi wanaume walio na kiu ya uvutaji. Utafiti ulioendeshwa miongoni kwa zaidi ya watu milioni 2, umebaini wanawake wako kwenye hatari ya maradhi ya moyo kwa asilimia 25 wakati wanapotumia tumbaku hiyo. Hata hivyo, …