Nyaraka za siri za Serikali ya Gaddafi zaibua mazito

NYARAKA zilizopatikana kwenye Jengo la Serikali ya Libya mjini Tripoli, zinaonesha uhusiano wa karibu baina ya mashirika ya ujasusi ya mataifa ya magharibi na Serikali ya Kanali Muammar al-Gaddafi. Makabrasha hayo yaliyoibuliwa na Shirika la Kupigania Haki za Binadamu lenye makao yake Marekani, (Human Rights Watch), yanaonesha mawasiliano ya barua baina ya Idara ya Ujasusi ya Libya, na CIA, ya …

Wabunge Zimbabwe wagoma kutahiriwa

WABUNGE wanaume nchini Zimbabwe wameonekana kutokukubaliana na wito wa kutaka kutahiriwa ili kuonesha mfano katika kupambana dhidi ya Ukimwi, BBC imegundua. Naibu Waziri Mkuu, Thokozani Khupe alitoa wito huo, kufuatia ushahidi kuwa wanaume waliotahiriwa wana uwezekano wa kuathirika na virusi vya HIV kwa chini ya asilimia 60. Miongoni mwa wabunge wanane waliozungumza na BBC, mmoja tu alisema atatilia maanani pendekezo …

Viongozi mataifa makubwa wakutana kuhusu hatma ya Libya

KIKAO maalumu kuhusu Libya, ambacho mwenyeji wake ni Rais wa Ufaransa, Nicolas Sarkozy na Waziri Mkuu wa Uingereza David Cameron, kimefanika mjini Paris. Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Hillary Clinton atahudhuria huku China na Urusi, wakilitambua Baraza la Mpito la Libya (NTC) kama serikali halali ya Libya. Baraza hilo la NTC litaomba msaada wa ulinzi, kuijenga upya Libya …

Wanawake wenye nguvu kuliko wote duniani

Women are dominating all parts of life and there are sitting on the top seats all over the world. Politics and business are those top fields which empower the women and in this list of top ten powerful women most of the women belongs to politics and business. German Chancellor Angela Merkel is on number one in the list of …

Familia ya Gaddafi yakimbilia Algeria

MKE wa Kanali Gaddafi wanawe wa kiume na binti yake Mke na watoto watatu wa kiongozi wa Libya aliye mafichoni Muammar Gaddafi wako nchini Algeria, maafisa wa Algerian wamesema. Taarifa ya wizara ya mambo ya nje imesema mke wa kanali Gaddafi, Safia, binti yake Ayesha na watoto wa kiume Muhammad na Hannibal waliondoka Libya mapema Jumatatu. Balozi wa Algeria katika …