NCHI ya Ufaransa imetangaza hali ya hatari na kufunga mipaka yake baada ya watu zaidi ya 120 kuuawa kwenye mashambulio kadha mjini Paris. Watu 120 wameuawa katika ukumbi wa sanaa wa Bataclan, katikati mwa Mji wa Paris. Watu wenye silaha walishika mateka watu waliokuwa kwenye ukumbi huo kabla ya kuzidiwa nguvu na maofisa wa polisi. Watu wengine waliuawa kwenye mlipuko …
Watu Zaidi Ya 18 Wauwawa Ufaransa.
Watu zaidi ya 18 wameuwawa nchni Ufaransa katika jiji la Paris. Mtu moja alionekana akifytua risasi kwenye restaurant ya Petit Cambodge. Gazeti ya Liberation limetoa ripoti kuwa kuna milipuko mitatu ilisikika nje ya baa ya Stade de France, ambapo Ufaransa ilikuwa inacheza na Ujerumani. Raisi wa Ufaransa, Francois Hollande, alikuwa anaangalia mechi hiyo na amepelekwa katika sehemu yenye usalama zaidi. …
EU Kutenga Mabilioni Kukabiliana na Wahamiaji Kutoka Afrika
VIONGOZI wa Muungano wa Ulaya wanatarajiwa kutenga euro mabilioni ya fedha kwa mataifa ya Afrika kuyawezesha kusaidia kupunguza wimbi la wahamiaji Ulaya. Tume ya Muungano wa Ulaya ilisema itatoa kiasi cha euro bilioni 1.8 (£1.3bn) na huku ikiwa na imani kwamba mataifa zaidi ya Umoja wa Ulaya, EU yataahidi pesa zaidi ili kukabiliana na changamoto hiyo. Taarifa zaidi zinasema lengo …
ISIS Wameshinda Safari hii
Kuna uwezekano mkubwa kuwa ndege iliyokuwa ikisafiri kutoka Misri kwenda Urusi iliangushwa kwa bomu. Wataalamu wa mambo ya usafiri wa anga kutoka Marekani na Ulaya, wanaimani kubwa kuwa kuna mtu alipanda na bomu lililolipuka kwenye ndege ikiwa angani na kuua watu wote 224 waliokuwa kwenye ndege. Mchunguzi Shadi Hamid kutoka Brookings Institution anayesoma mambo ya magaidi aliiambia New York Times …
Israel yazingira Maeneo ya Jerusalem Mashariki
Machafuko haya yalianza Oktoba mosi, pale mtuhumiwa mmoja wa kundi la Hamas alipowaua kwa kuwapiga risasi walowezi wawili wa Kiyahudi mbele ya watoto wao, katika Ukingo wa Magharibi. Mauaji hayo yalitokea baada ya fujo za mfululizo, zilizofanyika katika uwanja wa msikiti wa Al-Aqsa mwezi Septemba, baina ya vikosi vya Israel na vijana wa Kipalestina. Awali machafuko hayo yalianzia Jerusalem ya …
Mwanasiasa Christopher Afariki Dunia kwa ajali
Mwanasiasa machachari nchini amefariki dunia leo asubuhi katika kijiji cha Msolwa karibu na chalinze mkani pwani kwa ajali ya gari Taarifa za awali zinasema mtikila amefariki dunia kwa ajali ya gari . ndani ya gari hilo kulikuwa na abiria wengine watu ambao walijeruhiwa na ni yeye pekee aliyepoteza maisha. Kwa taarifa zaidi tutaendelea kukujuza