Papa Francis Awasili Kenya, Ahimiza Amani na Uwazi…!

BABA Mtakatifu Francis amewasili nchini Kenya kuanza ziara yake Afrika kwa kuhimiza umoja, amani, uwazi, kuwathamini vijana na kuyatunza mazingira. Kiongozi huyo wa Kanisa Katoliki aliwasili Nairobi mwendo wa saa kumi unusu jioni na kukaribishwa kwa shangwe na viongozi wa kisiasa na kidini uwanja wa ndege. Baada ya kuwasili, alielekea Ikulu ya Kenya ambako alipanda mti kisha kukutana na Rais …

Custom Essay Online Writing Help at $10.55/page

Essay writing may prove to be fun if one clearly understands the mechanics and writing styles with greater proficiency. However, if these basic essay writing skills are absent then essay writing may prove to be a disastrous as well as a painstaking activity to undertake. However, one cannot completely avoid engaging in essay writing activities, because these are basic to …

Kenyatta Awafukuza Kazi Mawaziri, Aunda Upya Wizara

RAIS wa Kenya, Uhuru Kenyatta amelifanyia mabadiliko baraza lake la mawaziri kufuatia shinikizo la Wananchi kudai kwamba kuna idadi kubwa ya mawaziri wake wanatuhumiwa na ufisadi. Kwa mujibu wa taarifa zaidi zinasema katika baraza hilo la mawaziri limeongezwa wizara moja huku akiwapiga chini mawaziri sita wanaokabiliwa na kashfa za ufisadi. Katika mabadiliko hayo Kenyatta kwa sasa atakuwa na jumla ya …

Watano Kushtakiwa kwa Kutoa Siri za Papa

WATU watano wamefunguliwa mashtaka Makao Makuu ya Kanisa Katoliki, Vatican kwa tuhuma za kutoa na kuchapisha nakala za siri zinazoonesha usimamizi mbaya katika Ofisi hiyo takatifu. Waandishi wawili waliopata nakala hizo katika vitabu viwili watakabiliwa na kesi hiyo wakiwemo wanachama wawili wa tume ya Papa pamoja na Naibu mmoja. Iwapo watapatikana na hatia huenda wakahudumia kifungo cha miaka minane jela. …

Wazanzibari Marekani Wasaka Suluhu ya Zanzibar ‘White House’

Na Mwandishi Wetu Washington  WAKATI vikao vya siri vya kutafuta suluhu ya mzozo wa kisiasa visiwani Zanzibar vikiwa vimeripotiwa, juhudi za kuupatia ufumbuzi mzozo huo zimehamia kutoka Ikulu ya Zanzibar na kufika Ikulu ya Marekani (White House). Mnamo tarehe 21 mwezi huu, Wazanzibari waishio nchini Marekani waliandamana hadi kwenye Ikulu ya nchi hiyo katika juhudi za kutafuta uingiliaji kati wa kimataifa …

Mashambulizi Paris: Mshukiwa Ajilipua, Mmoja Auwawa Saba Wakamatwa

MWANAMKE mmoja amejilipua huku mshukiwa akiuwawa kwa kupigwa risasi wakati wa operesheni ya polisi katika mtaa mmoja wa Saint Denis jijini Paris. Tayari watu saba wamekamatwa kuhusiana na tukio la mashambulizi. Polisi walishambulia nyumba moja mtaa wa Saint Denis wakieleza kuwa mshukiwa anayedaiwa kupanga mashambulio ya kigaidi ya Ijumaa ambayo yalisababisha vifo vya watu 129 mjini Paris. Hatima ya mshukiwa …