Kabila sasa ataka Ntaganda akamatwe

RAIS wa Congo DRC, Joseph Kabila amesema kiongozi wa zamani wa waasi, Bosco Ntaganda, anayetafutwa na Mahakama ya Uhalifu ya ICC ni lazima akamatwe. Anasema Jenerali Ntaganda bado yuko nchini DRC. Kabila awali alikataa wito wa kumkamata mtu huyo anayejulikana kama “The Terminator”. Mahakama ya ICC kwa miaka mitano sasa inamtafuta kwa kusajili watoto kuwa askari wakati wa miaka mitano …

Indonesia Earthquake: Tsunami Warning Issued Following Magnitude 8.6 Temblor

BANDA ACEH, Indonesia – A massive earthquake off Indonesia’s western coast triggered tsunami fears across the Indian Ocean on Wednesday, sending residents in coastal cities fleeing to high ground in cars and on the backs of motorcycles. A strong aftershock nearly three hours later sparked a new wave of panic. Indonesia’s government responded by issuing a fresh tsunami warning. Some …

Muda wa kusitisha mapigano wamalizika Syria

KUANZIA leo saa 11 alfajiri, umemalizika ule muda wa kuweka chini silaha nchini Syria, kwa mujibu wa mpango wa mjumbe maalum Kofi Annan. Idadi ya watu wanaokufa Syria inazidi kuongezeka licha ya kwamba siku ya kusitisha mapigano imefika. Taarifa zinasema ndani ya muda wa saa 24 zilizopita watu zaidi ya 155 waliuawa ikiwa pamoja na askari 12 wa serikali. Mapigano …

Joyce Banda aapishwa urais Malawi

MAKAMU wa Rais wa Malawi Joyce Banda ameapishwa kuwa rais wa nchi hiyo kufuatia kifo cha Bingu wa Mutharika. Banda anakuwa rais wa kwanza wa kike kusini mwa Jangwa la Sahara, na aliapishwa mbele ya bunge katika mji mkuu wa Malawi, Lilongwe. Taarifa zinasema Bi. Banda, ambaye alikuwa makamu wa rais tangu mwaka 2009, alishangiliwa na kupigiwa kofi kabla na …

Rais Bingu wa Mutharika afariki dunia

RAIS wa nchi ya Malawi Bingu wa Mutharika amefariki dunia baada ya kupatwa na mshtuko wa moyo, akiwa na miaka 78. Taarifa kutoka katika Serikali ya nchi hiyo zimethibitisha kifo hicho. Mwili wa kiongozi huyo umepelekwa Afrika Kusini. Hata hivyo serikali haijatoa taarifa rasmi kuhusu kifo cha Rais Mutharika. Mmoja wa madaktari waliokuwa wakimhudumia kiongozi huyo amesema Mutharika alikufa baada …

Waasi wa Tuareg wajitangazia uhuru Mali Kaskazini

WAASI wa Tuareg wameliteka eneo la Mali Kaskazini. “Tunatangaza rasmi uhuru wa Azawad kuanzia leo,” alisema Mussa Ag Attaher, ambaye aliongeza kwamba waasi hao wataheshimu “mipaka ya mataifa mengine.” MNLA imesema kwamba kutokana na mafanikio yao ya kuliteka eneo wanaloliita Azawad, wanasimamisha mara moja operesheni za kijeshi kuanzia usiku wa jana. Katika tangazo hilo “la uhuru”, Ag Attaher alisema: “Tunakubali …