TB Joshua to Represent Nigeria at International Conference

PROPHET T.B. Joshua continues to fly the flag for Nigeria abroad, having been selected to choose three young leaders who will represent the nation at an internationally renowned conference across Asia and Europe. According to a post on Joshua’s official Facebook Page, Humanitarian Affairs, “an international NGO that aims to empower young people who are passionate about social change to …

Wazanzibar Waandamana Nchini Canada Kupinga Kurudiwa kwa Uchaguzi Zanzibar

Na Mwaandishi wetu Washington  Wakati hali ya kisiasa Visiwani Zanzibar ikiwa inazidi kutokota, bila kujali theluji na baridi kali, Wazanzibari waishio nchini Canada mnamo tarehe 27 mwezi huu walifanya maandamano katika Mji Mkuu wa nchi hiyo, Ottawa katika juhudi za kutafuta uingiliaji kati wa kimataifa katika kusaka suluhisho la amani kwa mgogoro wa kisiasa Visiwani humo. Wazanzibari hao waliandamana hadi …

Helikopta za Kijeshi Marekani Zagongana

INARIPOTIWA kuwa ndege mbili za wanajeshi wa Marekani aina ya helikopta zimegongana karibu na kisiwa cha Hawaii cha Oahu huku zikiwa na abiria sita. Mkuu wa walinzi wa pwani hiyo Sara Mooers amethibitisha ajali hiyo kutokea na kudai mabaki yalipatikana baharini, lakini bado haijabainika ni vipi ajali hiyo ilitokea. Kapteni wa jeshi hilo Timothy Irish ameliambia shirika la habari la …

Mahakama Burundi Yawafunga Maisha ‘Waliompinduwa’ Nkurunziza

MAHAKAMA nchini Burundi imewahukumu kifungo cha maisha majenerali wa jeshi walioongoza mapinduzi dhidi ya Rais wa Burundi, Pierre Nkurunziza. Mahakama hiyo pia imewahukumu watu wengine tisa miaka 30 jela kwa kitendo cha kuhusika katika jaribio hilo la mapinduzi ya kijeshi. Wanne kati ya hao watakaotumikia kifungo cha maisha jela ni aliyekuwa Waziri wa Ulinzi, Cyrille Ndayirukiye, Jenerali Zenon Ndabaneze, Juvenal …

Donald Trump kupigwa marufuku kuingia Uingereza?

Wito wa kumzuia mgombea urais kupitia chama cha Republican Donald Trump kuingia chini Uingereza unaendelea kupamba moto baada ya kukusanya zaidi ya saini 329,000. Wito huu ulipelekwa kwenye website ya bunge ya e-petition siku ya Jumanne. Wito wowote wenye zaidi ya saini 100,000 huchukuliwa moja kwa moja kuwa mjadala katika Bunge la Uingereza