WAKUU wa Guinea wanasema kuwa watu takribani 30 wamekufa kwenye ajali ya mashua katika bahari ya Atlantic, Ghuba ya Guinea. Inaarifiwa kuwa mashua hiyo ilikwenda mrama kwa sababu ya dhoruba wakati ikisafiri kutoka mji mkuu, Conakry, kuelekea kisiwa cha Kassa, safari ya kilomita 10. Shughuli za uokozi zimesimamishwa. Ajali kama hizo zinatokea mara kwa mara nchini Guinea na kwengineko Afrika, …
Romney makes appeal to voters disappointed in Obama: ‘The time has come to turn the page’
TAMPA—Mitt Romney accepted the Republican presidential nomination by making an appeal to Americans disappointed in President Barack Obama’s tenure in the White House, arguing he can usher in the change Obama promised in 2008 but has failed to deliver. “Tonight I’d ask a simple question: If you felt that excitement when you voted for Barack Obama, shouldn’t you feel that …
CHADEMA na Sakata la Rushwa Marekani
Na Mwandishi Wetu MWENYEKITI, Katibu na Muweka hazina, wa Jumuia ya Watanzania waishio Marekani, wanashutumiwa na Wanajumuia wa Washington kuwa wamepokea Rushwa kutoka kwa Chadema kwa ajili ya kufanyia picnic na party ya Usiku, vitakavyofanyika Agosti 25, 2012. Habari za madai za Shutuma hizo zinasema kuwa Jumuia ilikuwa na Fedha taslim zisizozidi Dola 2000 za Marekani zinazotosha kufanya party ya …
Tanzania yatoa Salamu za Rambirambi Kifo cha Zenawi
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete asubuhi ya Agosti 21, 2012, amepokea kwa mshtuko mkubwa, Masikitiko na Huzuni nyingi Taarifa za Kifo cha Waziri Mkuu wa Ethiopia, Mheshimiwa Meles Zenawi, kilichotokea jana usiku nje ya Nchi ambako alikuwa anatibiwa. Kufuatia Taarifa hizo, Mheshimiwa Rais Kikwete, kwa niaba ya wananchi wa Tanzania, Serikali yake na kwa …
Maafisa wa EAC wajadili Mbinu za kupambana na Uhalifu
Na James Gashumba Naibu Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) anayeshughulikia Shirikisho la Kisiasa Dk. Julius Rotich ametaka kuwepo kwa juhudi za pamoja kudhibiti Wahalifu ambao wanaonekana kuleta shirikisho kati yao kwa haraka zaidi kuliko Nchi wanachama. Alisema viwango vya Uhalifu kwa kutumia Mbinu za kisasa unazidi kuongezeka kutokana na nafasi nyingi za kujipatia Elimu huku kukiwa na …
Helikopta za kivita za Uganda zilizopotea zapatikana
JESHI la Uganda limesema helikopta zake nne zilizokuwa zime ripotiwa kutoweka zikiwa njiani kuelekea Somalia sasa zimepatikana na marubani wake wote wakiwa hai. Akizungumza msemaji wa jeshi hilo Kanali Felix Kulaigye hakuweza kusema ndege hizo ziko wapi kwa sasa. Naye msemaji wa jeshi la Kenya, Bogita Ongeri ameiambia BBC kwamba operesheni ya kutafuta ndege hizo ilikuwa imevurugwa na hali mbaya …