BUNGE la Somalia limemchagua Hassan Sheikh Mohamud kuwa Rais mpya wa nchi hiyo. Wagombea wapatao 22 walishiriki katika uchaguzi huo, akiwemo Rais aliyemaliza muda wake Shariff Sheikh Ahmed na Waziri mkuu Abdiweli Mohamed Ali. Hassan Sheikh Mohamud alishinda kufuatia duru ya tatu ya upigaji kura, ambapo alikuwa anachuana na Rais anayeondoka Shariff Sheikh Ahmed. Katika raundi ya kwanza Sheikh Ahmed …
School’s Out: Chicago Teachers Go On Strike
FOR the first time in a quarter of a century Chicago teachers went on strike today after last-ditch negotiations over the weekend failed to produce a new labor agreement for the country’s third-largest school district. The Chicago Teachers Union, representing more than 29,000 teachers, had been meeting with the Chicago Public Schools at the union’s downtown offices until late Sunday …
Waziri Kenya akutwa na gari la wizi
WAZIRI mmoja wa Kenya amekanusha kuwa anahusika na wizi wa gari moja la wizi ambalo amekutwa nalo. Waziri hiyo ambaye ni wa Serikali za Mitaa nchini Kenya, Fred Gumo, alisema gari lake alikuwa amempa mfanyabiashara mmoja wa Mombasa na badala yake akakabidhiwa gari hilo ambalo ni la wizi bila kujua, ambalo lilikuwa limeibwa kutoka kwa rais wa zamani, Daniel Arap …
Mashambulizi ya kulipiza kisasi Kenya
TAKRIBANI watu 11 wa kabila la Pokomo wameuawa katika mashambulizi mapya ya kulipiza kisasi katika eneo la Tana River, Kusini Mashariki mwa nchi ya Kenya. Mtu mmoja aliyeshuhudia tukio hilo alisema alisikia watu wakipiga mayowe wakati kijiji kimoja kilipokuwa kinashambuliwa na kisha wenyeji kuteketezwa. Taarifa zinazohusiana Eneo hilo ambako zinaishi jamii za kuhamahama ni kitovu cha mizozo ya ardhi na …
Bill Clinton ampigia debe Rais Obama
RAIS wa zamani wa Marekani Bill Clinton ametoa hotuba ya kina kumpigia debe Rais Barack Obama aweze kurejea ikulu kwa mhula wa pili katika uchaguzi wa rais mwezi Novemba. Hotuba hiyo ya Clinton ilichukua dakika 49 muda ambao ndio mwingi zaidi kuliko wazungumzaji wengine katika mkutano mkuu wa Chama cha Democratic unaoendelea mjini Charlotte, jimbo la North Carolina. Michelle Obama …
Michelle Obama amnadi mumewe
MKE wa rais wa Marakeni Barack Obama, Michelle Obama amemuunga mkono mumewe katika Mkutano Mkuu wa Chama cha Democratic akiomba rais huyo apewe muda zaidi. Bibi Obama amekiri kuwa mabadiliko ambayo mumewe Barack Obama aliahidi wakati wa kampeini ya wadhifa wa urais miaka minne iliyopita hayajatimizwa kikamilifu lakini akawaomba wapiga kura kumpa miaka mingine minne ili kuuimarisha uchumi wa Marekani …