Mataifa ya Ulaya Yasitisha Misaada Rwanda

MUUNGANO wa Nchi za Ulaya umeamua kusitisha misaada kwa nchi ya Rwanda baada ya kutoridhishwa na tabia zake. Uamuzi huo umefikiwa baada ya ripoti ya Baraza la Usalama la Umoja huo iliyodai kwamba Rwanda inawaunga mkono waasi wa M23 dhidi ya Serikali ya Congo DRC. Taarifa zaidi zinasema waasi hao wanadhibiti kimabavu sehemu kubwa ya Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia …

Jeshi la Kenya lakiri kuua wasomali sita kwa risasi

JESHI la Kenya limekiri kuwa mwanajeshi wake mmoja amefyatua risasi na kuwaua raia sita wa Somalia juzi. Pamoja na hayo jeshi hilo limesema linafanya uchunguzi na mara baada ya uchunguzi litachukua hatua zinazostahili kwa muhusika. Taarifa kutoka nchini Somalia zinasema tukio hilo lilitokea katika Kijiji cha Janaay Abdalla, ambacho kiko umbali wa kilomita sita kutoka Mji wa Kismayo ambao umekuwa …

Iran’s president condemns anti-Islam film, the violence it sparked

New York IRANIAN President Mahmoud Ahmadinejad slammed Sunday an anti-Islam film and the violent and deadly protests it triggered in the Muslim world. Ahmadinejad spoke to CNN’s Piers Morgan in New York, ahead of the president’s visit to the U.N. General Assembly this week. “Fundamentally, first of all, any action that is provocative, offends the religious thoughts and feelings of …

Second UK Soldier Dies In Afghanistan

A UK soldier from 28 Engineer Regiment has died in a shooting incident at an allied base in Afghanistan following the death of a soldier at another base. Neither death is thought to as a result of hostile action and full investigations are underway. Their families have been informed. The Ministry of Defence said one serviceman, who was attached to …

Waasi wa M23 Watuhumiwa Kuunda Serikali yao Kivu Kaskazini

OFISA wa ngazi ya juu katika Umoja wa Mataifa anayehusika na masuala ya amani, Herve Ladsous amesema waasi wa M23 mashariki ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo wameanzisha serikali yao na kutoza watu ushuru. Mkuu huyo wa Umoja wa mataifa anayehusika na masuala ya usalama anasema waasi wa kundi la M23 wamejiundia serikali yao wenyewe mashariki ya Jamhuri ya Kidemokrasia …

Al-Shabaab waanza kutoroka Kismayo

WANAJESHI wa Kenya wakipambana na Al Shabaab huku wenyeji mjini Kismayo Somalia, wameambia BBC kuwa wapiganaji wa Al-Shabab wameanza kuondoka katika ngome yao ya mwisho ya Kismayo. Kismayo ndio ngome kubwa na ya mwsisho ya kundi hilo linalopigana na jeshi la Somalia ambalo limekuwa likiuzingira mji huo kwa usaidizi wa wanajeshi wa AU. Wenyeji wa mji huo wanasema kuwa wapiganaji …