Mitt Romney takes control at first debate

*Romney goes on offense against subdued Obama in first debate PRESIDENT Barack Obama and Republican nominee Mitt Romney squared off in their first face-to-face presidential debate Wednesday, battling for more than an hour over the future of the economy, the federal budget, tax cuts, education, health care and even the future of Big Bird. Faced with several recent polls showing …

Boko Haram Wauwa Wanafunzi 25 wa Chuo Nigeria

ZAIDI ya wanafunzi 25 wa Chuo cha Ufundi Mubi wameuawa kwa kupigwa risasi katika eneo la Mubi, Kaskazini Mashariki mwa Nigeria. Taarifa za Polisi nchini Nigeria zinasema kuwa shambulizi hilo limetokea katika mabweni ya chuo hicho yaliopo mbali kidogo na chuo chenyewe kinachotoa mafunzo ya ufundi anuwai mjini Mubi. Hata hivyo taarifa zilizotolewa na mhadhiri mmoja wa chuo hicho zinaeleza …

Majeshi ya Kenya Yatangaza rasmi Kuutwaa Mji wa Kismayu

JESHI la Kenya limetangaza kuwa Mji wa Bandari wa Kismayu uliokuwa ukitawaliwa na Al-Shabaab kwa hivi sasa unadhibitiwa na majeshi ya Umoja wa Afrika pamoja na Somalia (AMISOM) baada ya jitihada zao zilizodumu kwa siku kadhaa. Msemaji wa Jeshi la Kenya katika operesheni hiyo Emanuel Chirchir amesema kwa njia ya simu kwamba majeshi ya Umoja wa Afrika na yale ya …

Sudan, Sudan Kusini Zafikia Makubaliano

SUDAN na Sudan Kusini zafikia makubaliano kuhusu kuanzishwa kwa eneo maalumu lisilokuwa na shughuli za kijeshi ili kuanza tena zoezi la usafirishaji wa mafuta lakini zimeshindwa kukubaliana kuhusu Abyei. Mbali na Abyei, mataifa hayo yameshindwa iua kukubaliana kuhusu maeneo mengine matano muhimu yanayo yagombania. Makubaliano hayo yenye vipengele tisa yatatiwa saini Septemba 27, 2012. Makubaliano hayo ambayo yanategemea kuukoa uchumi …

Julius Malema Asema Hatishwi na Hatua ya Mahakama

JULIAS Malema amewaambia wafuasi wake kuwa hatishiki na uamuzi wa Mahakama kusema kuwa ana kesi ya kujibu. Mahakama nchini Afrika ya Kusini ilimwachilia kwa dhamana Malema anayekabiliwa na shtaka la kuhaulisha pesa. Taarifa kutoka Afrika Kusini zinaeleza kuwa Malema ambaye aliwahutubia wafuasi wake nje ya Mahakama, pia anatuhumiwa kwa kutumia nafasi yake ya zamani kama kiongozi wa tawi la vijana …

Britain Braced For A Second Day Of Flooding

SWATHES of Britain are braced for more flooding with heavy rain and strong winds forecast for a second day. The Environment Agency (EA) has issued 83 flood warnings and 139 less serious flood alerts with up to 1.6 inches of rain set to fall in the next 24 hours. On Tuesday, some areas saw more than a month’s rainfall as …