Sudan Yaishtaki Israel Baraza la Usalama UN

SUDAN imelitaka Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa liilaani Israel kwa kukishambulia kiwanda chake cha silaha mjini Khartoum, ikisema kwamba ina ushahidi kuwa mashambulizi hayo yalifanywa na ndege za Israel. Waziri wa Habari na Utamaduni wa Sudan, Ahmed Bilal Osman, ameeleza kuwa ndege nne za Israel zilizoweza kuikwepa rada ya Sudan zilifanya mashambulizi hayo kwenye kiwanda cha silaha cha …

Uganda Yapinga Madai ya UN Dhidi Yake

NCHI ya Uganda inatishia kujiondoa katika mazungumzo ya kuleta amani katika nchi kadhaa barani Afrika. Tisho hilo limekuja baada ya ripoti ya Umoja wa Mataifa (UN) iliyotoka ikiituhumu Uganda kuunga mkono makundi ya waasi katika Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo. Waziri wa Serikali, Asuman Kiyingi, alisema kuwa dhana kuwa Uganda inaunga mkono waasi wa M23 katika DRC wakati ikiwa mpatanishi …

Off-The-Record Interview Goes Public, Obama Lays Out 2nd-Term Goals

PRESIDENT Barack Obama vowed in an interview published Wednesday that, if re-elected, he will forge a “grand bargain” with Republicans to reduce America’s debt and achieve comprehensive immigration—both in the first year of a second term. Obama’s comments came in a telephone conversation with the editor and the publisher of the Des Moines Register. The newspaper published the exchange on …

Mlipuko Watokea Kiwanda cha Silaha Sudan

KUMETOKEA mlipuko mkubwa katika kiwanda cha kutengeneza silaha kilichopo katika Mji Mkuu wa Sudan, Khartoum. Mlipuko huo ulisababisha moto mkubwa na milipuko zaidi ilifuatia wakati wazima moto walifika kujaribu kuudhibiti moto huo, uliozuka kutoka kampuni hiyo ya Yarmouk. Gaavana wa eneo hilo (Abdul Rahman Al-Khider Rahman) amesema watu kadha wamepelekwa hospitalini baada ya kuvuta moshi lakini hakuna aliyefariki. Amesema kuwa …

Uharamia Wapungua Pwani ya Somalia

IDADI ya meli zinazotekwa na maharamia katika Pwani ya Somalia, zimepungua mwaka huu , kulingana na shirika la kimataifa la safari za majini. Ni meli sabini pekee zilitekwa nyara katika miezi ya kwanza tisa mwaka huu ikilinganishwa na visa 233 vilivyoripotiwa mwaka 2011. Taarifa zinazohusiana Juhuzi za kimataifa pamoja na mikakati kipya ya kiusalama ndiyo imekuwa changamoto kubwa kwa maharamia …

M23 Yabadilisha Jina la Jeshi Lake

Kundi la waasi la M23 katika Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo, linaloshutumiwa kuzusha vurugu mashariki mwa nchi hiyo, limesema limebadili jina la tawi lake la kijeshi na linajiandaa kuzima mashambulio mapya dhidi yake. Kwa mujibu wa Kiongozi wa kundi hilo Jean-marie Runiga, sasa tawi la kijeshi la kundi hilo litajulikana kama Jeshi la Kimapinduzi la Kongo (ARC). Katika mahojiano na …