Mgahawa Mwingine Washambuliwa Mogadishu, Wanne Wafa

WATU wapatao wanne wameuwawa na wengine 10 kujeruhiwa katika shambulio dhidi ya mgahawa mmoja mjini Mogadishu, Somalia. Polisi wa Somalia wakisaidia jeruhi katika shambulio la Septemba. Taarifa zaidi zinaeleza kuwa Mwandishi wa BBC mjini humo anasema kumetokea miripuko miwili mikubwa nje ya mkahawa huo uitwao “The Village”, katika mtaa wa Hodan, kati-kati ya mji. Walioshuhudia tukio hilo wanasema mabomu yaliripuliwa …

Kimbunga Chauwa 16 Marekani

IDADI ya waliofariki dunia kutokana na Kimbunga kikubwa cha Sandy huko nchini Marekani imefikia 16 ambapo zaidi ya nusu ya vifo hivyo vimetokana na watu hao kuangukiwa na miti. Vifo hivyo kwa ujumla wake vimeripotiwa katika majimbo ya New York, New Jersey, West Virginia, Connecticut, Pennsylvania na Maryland. Lakini kuna vifo vingine pia vimeripotiwa kutokana na kukatika kwa umeme na …

Superstorm Sandy Batters US Eastern Coast

Former hurricane Sandy has battered parts of the eastern United States, flooding major cities and killing at least 13 people. The National Hurricane Centre, which reclassified the storm as ‘post-tropical’, said torrential rains and wind made landfall along the New Jersey coast near Atlantic City at around 8pm EDT (12am UK time). The huge storm brought gusts of more than …

Hilary Clinton Ziarani Nchini Nigeria

WAZIRI wa mambo ya nje wa Marekani, Hilary Clinton yuko nchini Nigeria, kuzungumzia swala la kukithiri kwa tisho la usalama kutokana na makundi ya wapiganaji wa kiisilamu katika nchi jirani ya Mali. Mapema mwezi huu, baraza la usalama la Umoja wa Mataifa, ilipitisha azimio linalotoa mwanya wa kikosi cha pamoja cha muungano wa Afrika kuzima uasi Kaskazini mwa Mali. Algeria …

Polisi Waua Watatu Mombasa, Kamanda “Gordon” auwawa Somalia

*Kamanda “Gordon” auwawa Somalia POLISI nchini Kenya wakiri kuwauwa watu wawili wanaoshukiwa kuwa wapiganaji wa Kiislamu mjini Mombasa. Msemaji wa polisi alieleza kuwa watu hao waliuwawa katika mapambano ya risasi wakati polisi walipovamia nyumba moja. Alisema bastola, maguruneti na risasi zilikutikana kwenye nyumba hiyo. Kumetokea mapambano kadha mjini Mombasa katika miezi ya karibuni, baina ya Polisi na Waislamu. KAMANDA mwanadamizi …

Mapigano Uganda, Askari Wauliwa na Waasi wa DRC

TAARIFA zinasema kuwa askari wawili wanaolinda mbuga, pamoja na mwanajeshi mmoja wameuliwa na waasi katika Mbuga ya Wanyama ya Virunga, Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Congo. Maofisa wanasema waasi watano pia waliuawa katika mashambulizi hayo ndani ya mbuga hiyo ambayo ndiyo iliyosalia pekee duniani kwa hifadhi ya sokwe. Baadhi ya makundi ya waasi Mashariki mwa DRC ambayo yamejihami yana kambi zao …