Ujenzi Bomba la Mafuta Afrika Mashariki Wajadiliwa Uganda

MKUTANO unaohusu ujenzi wa bomba la kusafirisha mafuta kutoka Uganda hadi Bahari ya Hindi umeanza mjini Kampala nchini Uganda. Mkutano huo unayashirikisha mataifa waanzilishi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki – Kenya, Uganda na Tanzania – ambapo baada ya siku tatu maofisa wa Serikali kutoka mataifa hayo wataamua iwapo Bomba hilo linafaa kutoka Uganda na kupitia nchini Tanzania hadi Bandari ya …

Bunge Kujadili Kumn’goa Zuma Jumanne

Bunge la Afrika kusini litajadili hoja ya kumng’oa rais Jacob Zuma madarakani siku ya Jumanne. Spika wa bunge la Afrika Kusini ametoa taarifa hiyo baada ya shinikizo kutoka kwa vyama vya upinzani vikiongozwa na kile cha Economic Freedom Fighters (EFF) kinachoongozwa na Julius Malema. Spika Baleka Mbete, amesema wakati umewadia wa kujadili wito wa kumfuta kazi rais Zuma kufuatia tuhuma …

Mahakama ya Afrika Kutoa Hukumu ya Rufaa ya Raia wa Kenya

Na Kulwa Mayombi, EANA Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu (AfCHPR) inatarajia kutoa hukumu ya rufaa ya kesi ya mauaji na wizi wa kutumia silaha inayowahusu raia 10 wa Kenya itakayotolewa kesho Ijumaa ( Machi 18, 2016) katika makao makuu ya mahakama hiyo yaliyoko jijini Arusha, Tanzania. Raia hao wa Kenya walikutwa na hatia ya kosa la mauaji …

Tanzania Miongoni mwa Nchi Zisizo na Furaha Diniani

TANZANIA ni miongoni mwa nchi kumi za mwisho kwa viwango vya furaha kwa mujibu wa Ripoti ya Viwango vya Furaha Duniani ya mwaka 2016 ambayo imetolewa leo. Orodha hiyo imebainishwa katika ripoti iliyotolewa na Shirika la Maendeleo Endelevu ya ‘Sustainable Development Solutions Network’ (SDSN) ilioandaliwa kwa kuzingatia pato la mtu kwa kila mwaka, miaka ambayo mtu anatarajiwa kuishi, kuwa na …

Rais Kagame Afuata Nyayo za Magufuli…!

RAIS wa Rwanda, Paul Kagame amelaumu Jumuiya ya Afrika Mashariki kwa kufanya matumizi holela ya fedha kutokana na mawaziri kufanya ziara za mara kwa mara kuhudhuria mikutano. Alisema mawaziri wa nchi yake wanatumia chombo hicho kama njia ya kujinufaisha kwa kufanya ziara na kuhudhuria mikutano ya Jumuiya hiyo hata isiyo na umuhimu. Ameahidi kufuata mfumo wa Rais wa Tanzania, John …

Jua Lanaswa na Mwezi Indonesia

Indonesia ndio nchi pekee iliyoshuhudia tukio hilo kote duniani. Hoteli zilizopo katika maeneo mazuri ya kushuhudiwa jua likinaswa zilijaa miezi kadhaa iliopita na katika baadhi ya maeneo ilibidi maafisa watafute nafasi za ziada kwa watalii waliokuwa kwenye maboti. Katika kisiwa cha Belitung mamia ya wageni na watalii wa nchni walikusanyika katika fukwe za bahari kabla ya alfajiri. Wakati jua lilipoanza …