Msaani mwenye kipaji cha Hali ya juu nchini na Mwenye umri mdogo Elizabeth Michael “LULU”anatarajia kuzindua filamu yake ya Kwanza tokea alipotoka Gerezani, Filamu hii iitwayo FOOLISH AGE ikiwa imetengezwa na Kampuni ya Proin Promotion Limited itazinduliwa Mnamo tarehe 30 August 2013 Katika Ukumbi wa Mlimani city jijini Dar Es Salaam. Filamu hiyo inayoelezea Maisha ya LULU ni moja ya …
Msanii Mfuga Bundi Aeleza Namna Anavyowapenda Ndege Hao
MSANII na Kiongozi wa kundi la Ngoma Afrika Bend, Kamanda Ras Makunja ameeleza sababu ya kuwapenda ndege aina ya bundi na kuamua kuwafuga nyumbani kwake, nchini Ujerumani. Msanii huyo alisema bundi ni ndege anaowapenda na ndio maana anawafuga. ! Kwa nini? Anasema bundi wake ni wakimya na si wakorofi. Baada ya bendi yake kufanikiwa kujichukulia tuzo ya kimataifa ya bendi …
Bia ya Tusker Yazinduwa Shindano la ‘Tusker Project Fame’
Meneja wa Bia ya Tusker kutoka Kampuni ya Bia ya Serengeti, Sialouise Shayo (katikati) akizungumza na wanahabari leo kuhusu TUSKER PROJECT FAME. Kushoto ni Meneja Masoko Tusker, Anitha Msangi na msanii mahiri Zahira Zoro. Kutoka kushoto ni Anitha Msangi, Sialouise Shayo, Mwanamuziki mahiri Zahira Zorro, na mzao wa Tusker Project Fame, Aneth Kushaba. TUSKER PROJECT FAME IMERUDI TENA! KWA miaka 7 sasa TUSKER …
Miss Tanzania Beauty Pageant…!
ANY INFOS FOR NOW CALL 202-830-8904
FFU wa Ngoma Africa Band Watwaa Tena International Diaspora Award 2013
*Mabalozi wa Kiafrika nchini Ujerumani waipongeza KWA mara nyingine tena Ngoma Africa Band aka FFU wamefanikiwa kutetea ubingwa wao wa Bendi Bora na kujichukulia tuzo ya kimataifa ya IDA mjini Tubingen, Ujerumani katika maonesho ya kimataifa ya International African Festival Tubingen 2013. Bendi hiyo maarufu kwa kuwatia kiwewe mashabiki mdundiko wake imevunja rekodi kwa kuwa na washabiki wa kimataifa kila …