Na Onesmo Ngowi, Rais wa IBF/Africa KATIKATI ya miaka ya 90, nchi ya Tanzania ilipata bahati ya kuwa na bingwa wa ngumi wa dunia ambaye alitambuliwa na Umoja wa Ngumi wa Dunia (WBU). Rashid Matumla aliweza kuonyesha dunia kwamba Tanzania pia inaweza kushindana na kushinda katika medani ya ngumi za kulipwa hivyo aliweza kujizolea sifa kemkem yeye binafsi pamoja na …
Usaili Kutafuta ‘Models’ Watakaoshiriki Rehmtullah 2014 Collection Fashion Show
MEZA kuu ya Majaji walioshiriki katika Usaili ya kutafuta Models watakaoshiriki kwenye Ally Rehmtullah 2014 Collection Fashion show kutoka kushoto ni Meneja Mkuu wa Alliance Autos, wakala wa Volkswagen nchini, Alfred Minja, Ally Hassan, Mrembo na mwigizaji maarufu nchini Wema Sepetu, Mwandaaji wa Onyesho hilo ambaye pia ni Mbunifu wa Mavazi nchini Ally Rehmtullah, Mwanamitindo Jamillah Nyangasa, Sarah Raqey. Mwanamitindo …
Jukwaa la Serengeti Fiesta 2013 Lazinduliwa Rasmi Kigoma Leo
Msanii wa muziki wa kizazi kipya,Neylee akiimba kwa hisia kwenye jukwaa la tamasha la Serengeti Fiesta 2013,usiku huu kwenu uwanja wa Lake Tanganyika. Sehemu ya umati wa watu waliofurika kwenye uwanja wa Lake Tanganyika usiku huu wakiburudika na Wasanii wa Serengeti Fiesta 2013 Burudani ya kutosha kabisa Hapatoshi ndani ya uwanja wa Lake Tanganyika usiku huu. Msanii wa muziki wa …