Mwanamuziki mkongwe wa Bongo Fleva, Dully Sykes Jana nilitembelea mtandao wa Ankal Michuzi (ndio wana Blogu huwa tunatembeleana kubadilishana uzoefu -:))na baada ya kupita hapa na pale, nikakumbana na habari, iliyoambatana na video tatu kutoka Tanzania Film Critics Association (TFCA). Video hizi http://issamichuzi.blogspot.de/search?updated-max=2013-08-25T12:49:00%2B03:00 zilikuwa za mahojiano ya wasanii watutu, yaani John Kitime, Dr. vicensia Shule, na Dully Skyes. Sikuwa na …
Wanawake Tunaweza, Wafungua Klabu ya Mchezo wa Bao Dar
Wachezaji wa Mchezo wa bao wakicheza wakati wa mazoezi ya mchezo huo yaliyofanyika katika klabu yao iliyopo Mtaa wa Kasuru Ilala Dar es Salaam jana, kushoto ni Salha Wailes na Halima Kaubanika Picha na www.burudan.blogspot.com
Special Thanks From Ngoma Africa Band
WE are taking this opportunity to thank our entire fans around the globe for your support to this band. It is your support that makes the Ngoma Africa band prosper, without you there will be no success! Please, we ask you again to keep on supporting and let the band be on the top most position in every event, festival, …
Twanga Pepeta, Roma Mkatoliki Kupamba Tamasha la Wafanya Mazoezi la Vita Malt Jumamosi
Na Mwandishi Wetu KATIKA kuhakikisha Watanzania wanakuwa na afya bora, kinywaji kisicho na kilevi cha Vita Malt, kimeandaa bonanza maalumu litakalowashirikisha wafanya mazoezi na litakalofanyika katika mikoa ya Dar es Salaam, Mwanza, Arusha na Mbeya. Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana, Meneja wa Vinywaji visivyo na Vileo katika Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Consolata Adam …
Mzee Gurumo Astaafu Rasmi Muziki
Na Jennifer Chamila, Maelezo MWANAMUZIKI mkongwe wa bendi ya Msondo Ngoma, Mzee Muhidin Gurumo amestaafu rasimi kazi ya muzika alioifanya kwa muda wa miaka 53. Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam Mzee Gurumo mwenye umri wa miaka 73 amesema ameamua kustaafu kazi hiyo kwa hiari yake mwenyewe kutokana na umri wake kuwa mkubwa kwa sasa. “Muziki kwangu umekuwa …
Sunday Shomari wa Radio VOA Azungumza na Ras Makunja
ILIKUWA ni majira ya saa 11.00 alfajiri kwa saa za Afrika Mashariki, ambapo mtangazaji wa Radio VOA – Kiswahili, Sunday Shomari alisikika akimuhoji Kiongozi wa Ngoma Africa Band a.k.a FFU ughaibuni almaarufu “Watoto wa Mbwa” mwanamuziki Ebrahim Makunja aka Kamanda Ras Makunja mwenye makao kule Ujerumani. Katika mahijiano hayo Shomari alikuwa anataka kujua haswa siri ya mafanikio ya Ngoma Africa …