Miss Tanzania 2012, Brigitte Lymo Aelekea Indosia Kushiriki Miss World 2013

Mwakilishi wa Tanzania katika mashindano ya Urembo ya Dunia, Miss Tanzania 2012, Brigitte Alfred Lymo, ameondoka nchini leo kwenda nchini Indosia katika kambi ya Miss World 2013. Pichani juu ni Brigitte akiwa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) jijini Dar es Salaam jioni hii tayari kwa safari hiyo. Akiongea na waandishi wa habari muda mfupi kabla ya …

Huyu Ndiye Redd’s Miss Photogenic 2013

MREMBO Happiness Watimanywa (19) atimaye ameibuka kidedea kati ya walimbwende wenzake 30 na kutwaa taji la Redds Miss Photogenic 2013 na kupata nafasi ya kwanza kabisa kuingia Nusu Fainali ya mashindano hayo. Shindano hilo ni moja kati ya mataji matano ambayo yanashindaniwa na warembo hao ambapo washindi wake wanapata tiketi ya kuingia Nusu Fainali ya shindano hilo litakalo fanyika baadae …

Kigoma Yaitikia Wito wa ‘Kikwetu Kwetu’

Na Mwandishi Wetu MSANII wa muziki wa kizazi kipya nchini, Naseeb Abdul, juzi alifunika katika tamasha la Kili Music Tour lililofanyika kwenye Uwanja wa Lake Tanganyika Mjini Kigoma. Katika tamasha hilo lililohudhuriwa na umati wa mashabiki, Diamond alifanya onyesho la aina yake na kuwafanya mashabiki kumshangilia kwa kupiga kelele. Diamond ambaye alikuwa msanii wa mwisho kupanda kwenye jukwaa, aliwaita wasanii …

Henry Joseph Aitwa Stars

KOCHA MKUU wa Taifa Stars, Kim Poulsen amemjumuisha mchezaji Henry Joseph wa Simba kwenye kikosi chake kinachojiandaa kwa mechi ya mchujo ya Kombe la Dunia dhidi ya Gambia itakayochezwa Septemba 7 mwaka huu jijini Banjul. Tayari Joseph amesharipoti kwenye kambi ya timu hiyo iliyoko hoteli ya Accomondia jijini Dar es Salaam. Taifa Stars ambayo iko chini ya udhamini wa Kilimanjaro …

Hawa Ndio Warembo wa Redds Miss Tanzania 2013

WASHIRIKI wa shindano la Redd’s Miss Tanzania leo watapata fursa ya kumjua mrembo wa kwanza kuingia katika hatua ya Nusu fainali ya Shindano la Redd’s Miss Tanzania 2013 wakati mrembo mmoja kati ya wanyange hao 30 atakapotajwa mshindi wa Miss Photogenic 2013. Shindano  hilo no moja kati ya mataji matano ambayo yanashindaniwa na warembo hao  ambapo washindi wake wanapata tiketi ya kuingia Nusufainali ya shindano hilo litakalo …