MAELFU ya wapenda burudani mjini Mbeya walijitokeza kwa wingi katika Uwanja wa Sokoine jijini humo kushiriki katika Tamasha la Serengeti Fiesta. Tofauti na ilivyotarajiwa, idadi kubwa ya wananchi wa mkoa huo walijitokeza na kuufunika Uwanja wa Sokoine kwa shangwe mwanzo hadi mwisho. Akizungumza na waandishi wa habari Meneja wa bia ya Serengeti Premium Lager ambayo ndio bia inayodhamini tamasha hili …
Narietha Boniface Ndiye Redd’s Miss Tanzania Top Model 2013
Mshindi wa taji la Redd’s Miss Tanzania Top Model 2013, Narietha Boniface akipozi kwa picha mara baada ya kushinda taji hilo jana na kuwa mrembo wa pili kuingia katika nusu fainali za Miss Tanania 2013 baada ya kuwashinda warembo wenzake 29. Shindano la Miss Tanzania Top Mode lilifanyika katika Hoteli ya Snow View Arusha na kuwashirikisha warembo 30. Mshindi wa taji la Redd’s Miss Tanzania …
Je, Wewe ni Mwanafunzi, Basi Usikose Tamasha la Mtakuja
BAADA ya muda mrefu kupita bila kuwa na tamasha lolote la wanafunzi hasa wa shule za Sekondari, uongozi wa Mtakuja Secondary School ua Kunduchi kwa kushirikiana na mtangazaji maarufu Allan Lucky ‘Rais wa Wanafunzi’ wa kipindi maarufu cha Skonga ambacho hurushwa kupitia televisheni ya vijana ya EATV umeandaa tamasha la wanafunzi linalotarajiwa kuhudhuriwa na wanafunzi zaidi ya 3000 kutoka katika …
Tamasha la Serengeti Fiesta 2013 Ndani ya Sokoine, Mbeya
Msanii wa muziki wa kizazi kipya,ambaye kwa sasa anafanya vyema kwenye anga za muziki huo,Neylee akiimba kwa hisi jukwaani huu wakati tamasha la Serengeti Fiesta likiendelea kwa shangwe ndani ya uwanja wa Sokonine. Wakazi wa jiji la Mbeya wakiwa wamejitokeza kwa wingi usiku huu kwenye tamasha la Serengeti Fiesta 2013 ndani ya uwanja wa Sokoine, ndio kwanza shoo inaanza ambapo msanii …
Wajue Mabingwa wa Ngumi Dunia
HIVI karibuni Mtanzania Francis Cheka ambaye alikuwa bingwa wa IBF katika bara la Afrika uzito wa kati (Super Middleweight) alimshinda bondia kutoka Marekani Phil William na kutawazwa kuwa bingwa wa dunia anayetambuliwa na Shirikisho la Ngumi la Dunia (WBF). Ushindi wa Cheka sio tu kwa Tanzania bali na kwa bara la Afrika na dunia yote kwa ujumla. Cheka ameungana na mabingwa …
Fursa za Semina ya Sereneti Fiesta Zaibukia Mkoani Mbeya
Mdau wa Kilimo kutoka mkoani Mbeya, Yona Daniel akizungumzia fursa zinazopatikana kwenye kilimo, ambapo amewaasa vijana kujitokeza kwa wingi kuchangamkia fursa mbalimbali zinazopatikana kwenye suala zima la kilimo. Sehemu ya vijana waliojitokeza k wa wingi kwenye semina hiyo ya Fursa kwa vijana. Mmoja wa Vijana Wajasiliamali, ambaye ana mradi mkubwa wa kuuza juisi, Gasto Sony mkazi Uyole mkoani Mbeya, akieleza …