Redd’s Yaibua Sports Woman 2013

Mrembo Clara Bayo akipunga mkono mara baada ya kutangwazwa kuwa mshindi wa Taji la Redd’s Miss Tanzania Sports Woman 2013 juzi wakati wa tamasha la michezo la warembo wanao wania taji la Miss Tanzania 2013. Bayo alifanya vyema katika michezo kadhaa na kujizolea point nyingi na kuwashinda warembo wengine 29. Kwa Taji hilo Clara Bayo ambaye anatoka Kanda ya Ilala, …

Hurricane Harry Simon is Sweating and Hurting…!

HURRICANE HARRY SIMON is sweating and hurting as he punches hard the punching bag in the gym. He is under one of the world’s most experienced trainer, Normal Hlabane of South Africa. As he punch and sweat, his mind is concentrated on one man. His punching power and speed has improved quite tremendously and as he shuffles and punches, spectators …

Tamasha la Kili Music Tour Viwanja Vya Leaders Dar

                                JideJaydee na Mr Blue wakiimba “Wangu” katika Tamasha la Kili Music Tour lililofanyika Usiku wa Kuamkia leo Katika Viwanja Vya Leaders.                         Si mwingine ni Roma Mkatoliki akiendeleza makamuzi katika Kili Music Tour …

Sheria Ngowi to the New York Fashion Week Show this Week…!

Sheria Ngowi Company Limited, Assistant Director and Marketing Manager, Mr Deogratius Kessy (centre) elaborate a point to reporters not in picture about the invitation of Sheria Ngowi to the New York Fashion Week Show this week. Right is Communication Manager Miss Julda Makundi and left is Jesca Ngowi who is also a designer for the women clothes. Assistant Director and …

Temeke, Mjini Magharibi Kucheza Nusu Fainali Copa Coca-Cola

TEMEKE na Mjini Magharibi zinapambana Septemba 13 mwaka huu katika mechi ya nusu fainali ya michuano ya Copa Coca-Cola kwa vijana wenye umri chini ya miaka 15 itakayofanyika Uwanja wa Kumbukumbu ya Karume, jijini Dar es Salaam. Timu hizo zimetinga hatua hiyo baada ya kushinda mechi zao za robo fainali ya michuano hiyo zilizochezwa Septemba 12 mwaka huu asubuhi kwenye …