BFT Yaugomea Uongozi Mpya wa DABA
Baadhi ya wajumbe kutoka klabu ya Ashanti ya Ilala wakifatilia uchaguzi huo kutoka kushoto ni Emanuel Mgaya, Hamisi Manyota na Juma Mwalimu wakifatilia uchaguzi mkuu wa chama cha mchezo wa ngumi mkoa wa Dar es salaam ‘DABA’ ULIOFANYIKA SIKU YA JUMAMOSI KATIKA UKUMBI WA ddc mLIMANI Mngombea wa nafasi ya makamu Mwenyekiti Timithi Kingu akijinadi wakati wa kuomba kula
Namibian Kinda Nangolo Shapping Up Abraham ‘Energy’ Ndauendapo For the IBF Continental Africa Jr Lightweight Crown
NAMIBIAN Abraham ‘Energy’ Ndaendapo 10(3)-2(1)-0 will fight against a boxer to be named layer for the vacant “IBF Continental Africa Jr. Lightweight Title in November this year. Ndauendapo an elite boxer of hard punching club has elicited excitements in various quarters hence his nominal The tournament will be promoted by one of the gurus of Namibian boxing fraternity Kinda Nangolo Managing Director of Kinda …
Severina Lwinga Miss Miss Personality 2013
Severina ameungana na Miss Tanzania Photogenic 2013, Happiness Watimanywa, Miss Tanzania Talent 2013, Prisca Clement, Miss Tanzania Top Model 2013, Narietha Boniface na Miss Tanzania Sports Woman, Clara Bayo kuingia katika nusu fainali ya Miss Tanzania ambayo itafanyika Jumamosi hii ukumbi wa Mlimani City. Shindano hilo lilifanyika Mgahawa wa AK’S ulipo mtaa wa Samora. Warembo walioingia tano bora …