Ridhiwani Kikwete na Kauli ya Matumaini kwa Wasanii Tanzania

MBUNGE wa Jimbo la Chalinze, Mh. Ridhiwani Kikwete amesema anatamani kuona kazi za wasanii wa Tanzania zinatambuliwa na wasanii hao kupata faida juu ya kazi wanazofanya. Ameongeza kuwa anapenda kuona Wanamuziki wa Tanzania wakifanya vizuri na huku wakinufaika na kazi zao na kukuza soko la Muziki huo Kimataifa. Mbunge huyo amesema hayo alipokua Mgeni rasmi katika uzinduzi wa Video ya …

Harusi ya Bw. Louis Munishi na Mkewe Bi. Inviolata Yavutia Dar

                                iliyopita jijini Dar es Salaam. ” width=”800″ height=”533″ /> Bwana harusi Louis Munishi akipata picha ya kumbukumbu na mkewe Bi. Inviolata ukumbini. Ibada takatifu ya ndoa yao ilifanyika Kanisa la Bikira Maria mama wa huruma Mbezi Beach Jumamosi iliyopita jijini Dar es Salaam.[/caption]   …

Bodi ya Filamu Yawafunda Wasanii wa Filamu Mwanza

  Afisa Uendeshaji na Masoko kutoka Shirika la Pensheni la PPF Kanda ya Ziwa, Khatibu Mussa Khatibu (kulia), akitoa semina kuhusu Umuhimu wa wasanii wa filamu mkoani Mwanza kujiunga na shirika hilo ili kunufaika na huduma mbalimbali ikiwemo mafao ya matibabu, kutokana na kazi zao.  Na George Binagi-GB Pazzo MAFUNZO kwa wasanii wa Filamu yaliyoandaliwa na Bodi ya Filamu nchini mkoani …

Mwanamuziki Mkongo Nchini Canada Afariki Dunia

Mwimbaji na mtunzi mwenye sifa tele nchini Canada, Leonard Cohen, amefariki akiwa na umri wa miaka 82. Alizaliwa huko Montreal na kuanza taaluma ya utunzi wa mashairi na kuandika riwaya, kabla ya kuwa sehemu ya waimbaji wa nyimbo za tamaduni mbalimbali miaka ya sitini. Sauti yake ya ninga, utunzi wenye haiba na sifa, ulimpa umaarufu kote duniani, akifahamika kwa utunzi …

Naibu Spika Dk Tulia Asakata Mpira wa Pete na Timu ya Bunge

  Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Tulia Akson (kulia), wa timu ya Bunge  akidaka mpira ulioelekezwa golini kwake walipocheza na timu ya Wilaya ya Chato katika mchezo wa kirafiki wa netiboli uliofanyika hivi karibuni kwenye Uwanja wa Jamhuri Dodoma.               PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA

Filamu na Tamthilia za Kitanzania Kurushwa na DSTV

Mwenyekiti wa Bodi ya DSTV, Balozi Ali Mpungwe akizungumza wakati wa uzinduzi wa Filamu na Tamthilia za Kitanzania zitakazorushwa na DSTV kupitia Chaneli yao kuanzia Maisha Magic Bongo Ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam   Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda akizungumza wakati wa uzinduzi huo.  Katibu Mtendaji Bodi ya Filamu Tanzania, Joyce Fissoo akizungumza katika …