ALIYEKUWA bingwa wa dunia wbfed middle weight bondia Karama Nyilawila amesema ana hamu kubwa ya kumdunda mtoto wa Manzese Thomas mashali (ambae ni bingwa wa Afrika wbfed middle weight) alieutwa hivi karibuni kwa kumshinda Mada Maugo. Mashali akizungumza na vyombo vya habari ameeleza kuwa mashali ameupata ubingwa huo kibahati na haukubali uwezo wake na alishawahi kucheza na mashali alikuwa hayupo fiti alipigana …
Wajitokeza Kuwezesha Tamasha la Utamaduni Handeni
Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam WADAU watano, ikiwamo Kampuni ya usafirishaji ya Phed Trans inayomilikiwa na mdau wa muziki na kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Yusuf Mhandeni, maarufu kama (Yusuphed Mhandeni), wamejitokeza kudhamini Tamasha la Utamaduni linalotarajiwa kufanyika Handeni mjini, mkoani Tanga, Desemba 14 mwaka huu. Wengine waliokubali kuwezesha tamasha hilo kwa namna moja ama nyingine ni Katomu …
Ommy Dimpoz Kutumbuiza Los Angeles, Marekani Leo!
Ommy Dimpoz akiwa katika pozi Ommy Dimpoz akiwa na kikosi chake. Yule mwanamuziki machachari wa kizazi kipya kutoka Tanzania atakuwepo Los Angeles Leo kutumbuiza Wabongo na wadau wengine wote wa muziki huo ndani ya jiji la maraha, Los Angeles, Marekani. Taarifa iliyoufikia mtandao huu, ilisomeka kama ifuatavyo: Ommy Dimpoz – Jumamosi, October 5, 2013 – saa tatu usiku 1061 South …
Washabiki Wenye Silaha Marufuku Kuingia Uwanjani
SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) kupitia Jeshi la Polisi kuanzia sasa halitashikilia silaha za washabiki, na badala yake litawazuia kabisa kuingia viwanjani wakati wa mechi. Jeshi la Polisi limekuwa likihifadhi silaha za washabiki wanaokwenda viwanjani, na baadaye kuwarejeshea baada ya mechi kumalizika kwa vile Kanuni za Usalama Viwanjani za Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu (FIFA) …
Uamuzi Kamati ya Maadili Kufanyiwa Mapitio
SHIRIKISHO liko kwenye hatua za mwisho za mchakato wa Uchaguzi Mkuu uliopangwa kufanyika tarehe 26/27 Oktoba 2013 hapa jijini Dar es salaam. Hivi sasa, wagombea wanasubiri vyombo vya juu vya uamuzi kwa ajili ya kutoa uamuzi wa mwisho kabla ya kuanza kampeni na hatimaye uchaguzi. Hata hivyo, baada ya Kamati ya Maadili kufanya uamuzi dhidi ya kesi nane zilizowasilishwa …
Michezo Inafaida Kubwa kwa Mtoto…!
Na Anna Nkinda – Maelezo WADAU wa michezo, wapenzi wa amani, afya na maendeleo ya vijana nchini wameshauriwa kuwekeza zaidi katika michezo kwani inamuepusha mtoto na vishawishi vingi vya afya ya uzazi. Ushauri huo umetolewa na Katibu Mtendaji wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo (WAMA) Daud Nasib wakati akiishukuru Kampuni ya Montage Tanzania kwa kutoa vifaa vya michezo kwa ajili ya …