MEDIA For Development International (MFDI) – Tanzania usiku wa jana wamefanya uzinduzi wa aina yake katika sekta ya filamu Tanzania kwa kuzindua filamu tatu kupitia mradi wake wa Swahiliwood katika Ukumbi wa Century Cinemax uliopo Oysterbay, jijini Dar es salaam. Uzinduzi huo ulihudhuriwa na wadau mbalimbali wa sekta ya filamu hapa nchini pamoja na mashirika ya ya ndani na nje …
Kinara wa Wapendanao Apatikana Katika ‘Valentines Day Special Competition’
Na Mwandishi Wetu HONEY Kaur Mair, ni msichana mwenye bahati. Bila shaka sikukuu yake ya wapendanao ilimalizika kwa furaha baada ya yeye na mumewe kuibuka kidedea wa shindano lililoandaliwa na kudhaminiwa na METL la Valentines Day Special Competition kupitia ukurasa wao wa Facebook. Pamoja na kuzawadia kikapu maalum cha wapendanao kilichosheheni zawadi kem kem, pia wapenzi hawa walipatiwa vocha …
Bondia Kaseba Asaini Kuzichapa na Mashali
Na Mwandishi Wetu MABONDIA Thomas Mashali na Japhet Kaseba wamesaini makubaliano ya kucheza pambano la ubingwa wa mabara ‘Universal Boxing Organization (UBO)’ pambano litakalopigwa Machi 29, 2014 katika Ukumbi wa Karume ndani ya viwanja vya maonesho ya Sabasaba jijini Dar es Salaam (PTA). Pambano hilo linaandaliwa na Mratibu mashuhuri katika masuala ya ngumi za kulipwa nchini kutoka Mkoa wa Tanga, …
Mwenyekiti Halmashauri Kisarawe Ahaidi Kusapoti Mchezo wa Ngumi
Na Mwandishi Wetu MWENYEKITI wa Halmashauri ya Wilaya ya Kisarawe, Adam Ng’imba amepokea maombi ya kuhamasisha mchezo wa masumbwi katika halmashahuri hiyo baada ya mchezo huo kuonesha uhai kwa kipindi hiki tofauti na hapo awali. Maombi hayo yaliyopelekwa na kamati ya kufufua mchezo wa masumbwi Kisarawe ikiongozwa na Bondia Mbaruku Heri, Kocha wa mchezo wa ngumi nchini, Rajabu Mhamila ‘Super D’ …
Where Tanzania Taps Its Feet (source: New York Times)
The concrete lot next to the Hotel Travertine in downtown Dar es Salaam was full of swaying women in elaborate floor-length gowns trimmed with sequins. Spotlights reflected off bottles of Kilimanjaro beer, and the scent of shisha smoke hung in the air. It was 11 on a Sunday night in Tanzania’s largest city, and members of Jahazi Modern Taarab, a …
Mabondia Walivyozichapa ‘Valentine Day’
Bondia Lulu Kayage kushoto akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Fadhira Adam wakati wa mpambano wao uliofasnyika wakati wa sikukuu ya wapendanao katika ukumbi wa Mpo Afrika Tandika Dervis Corner Dar es Salaam mpambano huo walitoka droo.