SOULFUL Vocals, Hypnotic Guitars and the driving Extraordinary rhythm of the “Bongo Dance” from East Africa. The Ngoma Africa Band; known as the (Golden Voice of East Africa) or “FFU- Field force unit” is one of the few amongst african bands in Germany to have touched hearts and left audience dancing and week in the knees. Founded in 1993 and led by Tanzanian musician borned Ebrahim Makunja …
Nani Kuibuka Mshindi wa Tiketi ya Safari ya Braziri Wiki Hii?
*Tiketi ya kwanza kutolewa wiki hii KAMPUNI ya Bia ya Serengeti inatarajia kuchezesha droo ya nne ya promosheni ya Winda Safari ya Brazili na Serengeti ambapo mshindi wa kwanza wa kwenda Brazili atapatikana. Licha ya zawadi kibao kutoka kampuni hiyo kama ving’amuzi, ipad, bia za bure, na fedha taslimu kufaidisha wateja wengi wa bia ya Serengeti kwa wiki tatu za …
Doreen kuiwakilisha Tanzania Africa Magic Choice Awards Lagos
Mjasiriamali na Mbunifu wa mavazi nchini Tanzania, Doreen Noni akizungumza kwenye Exclusive Interview na mtandao wa habari wa MOblog. Na Damas Makangale, MOblog Tanzania MJASIRIAMALI na Mbunifu wa mavazi nchini Tanzania, Doreen Noni anatarajiwa kushiriki kwenye shindano la kumtafuta mbunifu bora katika sanaa ya filamu, (Africa Magic Viewers Choice Awards) nchini Nigeria wiki hii. Akizungumza na MOblog Tanzania, hivi karibuni …
Lady in Red na Maadhimisho ya Miaka 10
Mama wa Mitindo ambaye pia ni Mkurugenzi wa Fabak Fashions na wandaaji wa onyesho la Lady in Red, Bi. Asia Idarous Khamsin akizungumza na wadau tasnia ya mitindo waliojumuika kwenye After Party ya kuwashukuru wadau waliotoa michango mbalimbali tangu kuanza kwa onyesho la Lady in Red nchini Tanzania. Na Andrew Chale HALFA maalumu ya kilele cha Miaka 10 ya onesho …
Washindi Winda Safari ya Brazil Wakabidhiwa Zawadi Dar
WASHINDI wawili wa droo ya winda safari ya Brazili na Serengeti wamekabidhiwa zawadi zao Februari 22 katika baa ya Muleba iliyopo maeneo ya Mabibo Dar es Salaam. Washindi hao ni, Bw. Godbles Sehaba na Karushe Mathias wakiwa na furaha walipokea zawadi hizo na kuishukuru kampuni ya Bia ya Serengeti kwa kuwapa zawadi hiyo, wakiwa kama mashabiki wakubwa wa soka la …