MSANII maarufu wa muziki wa kikazi kimpya Dully Sykes juzi aliwaduwaza wapenzi wa muziki wa dansi baada ya kupanda katika jukwaa la Malaika Bend na kuimba wimbo wa bend hiyo pamoja na kupiga kwa ufasaha baadhi ya vifaa vya muziki jambo lililowashangaza wengi na kujikuta akiwainua wapenzi wa muziki vitini na kuanza kumshangilia. Tukio hilo lilitokea ndani ya ukumbi wa …
Mpambano wa Japhert Kaseba na Thomas Mashali Wanoga
WADAU wa mchezo wa masumbwi nchini Tanzania wamejitokeza kuwa walinzi wa mapambano ya ngumi yalioandaliwa na promota Ally Mwazoa yatakayoanza Machi 29, Aprili 26 na Mei Mosi, 2014 katika ukumbi wa PTA Sabasaba jijini Dar es Salaam. Akizungumzia mpambano wa Japhert Kaseba na Thomas Mashali Mwazoa alisema maandalizi ya mpambano huo yamekamilika hivyo kinachongojewa ni siku na muda wa mpambano ufike. …
Bondia Fadhili Awadhi Mwananyamala
BONDIA wa ngumi za kulipwa nchini Fadhili Awadhi amefariki dunia katika hospitali ya Mwananyamala baada ya kuugua kwa siku kadhaa. Fadhili Awadhi alikuwa ni miongoni mwa mabondia waliochaguliwa kucheza mpambano wa ubingwa Machi 29, 2014 dhidi ya mpinzani wake toka Mkoani Tanga, Alan Kamote. Taarifa ambayo mtandao huu umeipata kutoka kwa kiongozi wa ngumi nchin, Ibrahim Kamwe zinasema sababu ya kifo …
Serikali Yajipanga Kuleta Sera ya Filamu
Na Genofeva Matemu – Kitengo cha Mawasiliano, WHVUM SERIKALI ya Tanzania imejipanga kuendeleza kwa dhati tasnia ya filamu nchini ili kuwa chanzo kikubwa cha ajira kwa wasanii na pia kuongeza uchumi wa nchi. Ni dhahiri kuwa sekta ya filamu ni njia madhubuti ya kutambulisha jamii kiutamaduni, kisiasa na kijamii na pia katika kukuza na kuongeza fursa za nchi katika uwekezaji …
Jhikoman and the Afrikabisa Band…!
HAVING internationally toured, Jhikoman and the Afrikabisa band has performed in well-known international music festivals such Mela in Oslo, Norway, World Village festival / Maalma Kylassa in Helsinki, Finland; Exeter Respect Festival in Exeter City-Devon UK and locally at ZIFF- Zanzibar International Film Festival, and Sauti za Busara in Zanzibar as well as Bagamoyo International Art Festival. This true son …
Proin Promotions Yazinduwa ‘Tanzania Movie Talents’
Meneja wa Mradi wa Kusaka Vipaji Vya Uigizaji Tanzania (Tanzania Movie Talents) Bw Joshua Moshi akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wakutambulisha kampeni mpya ya kusaka Vipaji vya uigizaji kutoka kampuni ya Proin Promotions Limited mapema leo katika Ofisi za Proin Promotions Limited, Mikocheni, Mtaa wa Ursino, Pembeni ni Meneja Masoko wa Proin Promotions Limited Bw Evance Stephen …