Mabondia ‘Marasta’ Kaseba na Mashali Kuzichapa
MIAMBA wawili wa mchezo wa ngumi wenye nywele zilizotengenezwa kwa mtindo wa rasta, ambayo mara nyingi huwa ndio gumzo la watu mitaani hususani wapenda mchezo wa ngumi kwa tabia zao na vibwekwa vyao kwa raia, yaani mabondia Japhet Kaseba na ‘Mtukutu’ Thomas Mashali Jumamosi ya Machi 29, 2014 katika ukumbi PTA viwanja vya maonesho Sabasaba wanatarajia kukutana. Bondia Mashali ‘samba …
Washiriki Shindano la Maisha Plus Waingia Kijijini Rasmi
Ofisa Mtendaji wa Kampuni ya dMb ambao ni wamiliki wa Maisha Plus, Masoud Ally (Masoud kipanya kulia) akizungumza katika uzinduzi wa Kijiji cha Maisha Plus, ambapo jana washiriki wapatao 29 waliingia kijijini kuanza kukabiliana na changamoto za maisha kuwania shilingi milioni 25 za Kitanzania. Wageni waalikwa waliofika kijijini cha Maisha Plus kuangalia uzinduzi… Washiriki wa shindano la Mshindi wa Maisha …
Oscar Pistorius Kuuza Nyumba Kukabiliana na Kesi Yake
MWANARIADHA mlemavu wa Afrika Kusini Oscar Pistorious atauza nyumba yake ili aweze kumudu gharama za kesi ya mauaji inayomkabili. Taarifa hii ni kwa mujibu wa wakili wake Brian Webber ambaye amenukuliwa na Shirika moja la habari SAPA akisema kesi hiyo itaendelea kwa zaidi ya wiki tatu zilizotarajiwa kwa kesi hiyo kukamilika. Oscar hajaweza kurejea katika nyumba yake hata baada ya …
Msanii Yusuph Mlela Awasaidia Vifaa Mabondia Kinondoni
Na Mwandishi Wetu MSANII wa filamu za bongo, Yusuph Mlela ametoa msaada wa vifaa mbalimbali vya mchezo wa masumbwi nchini na kuvikabidhi kwa klabu ya mchezo huo inayojulikana kwa jina la Msisiri iliyopo Kinondoni jijini Dar es Salaam. Baadhi ya vifaa vilivyotolewa na msanii huyo ni pamoja na Gloves, clip bandage, Protector, Gumshit. Akizungumza mara baada ya kukabidhi msaada wa …