Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete amechaguliwa kuwa Kiongozi Mwenye Mchango Mkubwa Zaidi katika Maendeleo Barani Afrika kwa mwaka 2013 . Heshima hiyo kwa Rais Kikwete imetolewa na jarida maarufu la kimataifa la African Leadership Magazine Group na Tuzo la heshima hiyo itatolewa jioni ya kesho, Jumatano, Aprili 9, 2014, katika sherehe iliyopangwa kufanyika Hoteli ya …
Mpinzani wa Francis Cheka, Zohrevand Kuwasili Kesho
WAKATI mpinzani wa Bondia Francis Cheka, Gavad Zohrevand, anawasili nchini kesho, mpinzani wa Francis Miyeyusho, Agelito Merin, atawasili kesho kwa ajili ya pambano lao litalaofanyika Jumamosi kwenye Ukumbi wa PTA, Dar es Salaam. Mratibu wa pambano hilo, Mussa Kova, alisema kuwa bondia huyo atawasili majira ya saa 9, alasiri, kwa kutumia ndege ya Emirates, akitokea nchini Iran. Kova alisema Merin, …
Tanzania Movie Talents Yaanza Mwanza…!
Jukwaa la Majaji likiwa tayari Kwa shindano la Kusaka Vipaji vya Kuigiza Tanzania lijulikanalo kama Tanzania Movie Talents ambalo linaanza leo Mkoani Mwanza Katika Kanda ya Ziwa. Mafundi Mitambo wakiwa Tayari kwa Kazi. Kundi la Kwanza la Vijana waliojitokeza katika Usaili wa Shindano la Kusaka Vipaji Vya kuigiza Tanzania lijulikanalo kama Tanzania Movie Talents wakiwa kwenye foleni tayari kwa …
Wasanii Mastaa wa Kuigiza Wahamamisha Wananchi Kushiriki Tanzania Movie Talents
Msanii wa Filamu Tanzania Elizabeth Michael (Lulu) akikumbatiana na Mmoja wa Mashabiki wa Filamu zake katika Eneo la Nyegezi Mwanza Jioni ya Leo wakati wasanii wa filamu Tanzania walipotembelea eneo hilo kwa lengo la kutambulisha Shindano la Kusaka Vipaji vya Uigizaji Tanzania lijulikanalo kama Tanzania Movie Talents litakaloanza kesho Mkoani Mwanza, Mahali ni Isamilo Lodge Baadhi ya Wakazi wa Nyegezi …
Timu ya Tanzania Movie Talents Yawasili Mjini Mwanza…!
Mabasi yaliyokuwa yamebeba timu nzima ya Proin Promotions Limited yakiwa yamewasili Mkoani Mwanza Usiku huu. Timu nzima ya Proin Promotions Limited imewasili salama usiku huu katika Jiji la Mwanza ikitokea Mkoani Dar Es Salaam, tayari kwa kuanza zoezi la Kusaka vipaji vya uigizaji Tanzania, Zoezi hilo limeanzia Kanda ya Ziwa katika Mkoa wa Mwanza ambapo mashindano hayo yataanza tarehe 5 …
Tanzania Movie Talents Waanzia Mwanza Kusaka Vipaji…!
Mdau Karimu Muhidin Michuzi na Baadhi ya vijana wa kazi katika timu ya kusaka vipaji wakiwa tayari kwa safari ya Mwanza. Mabasi yakiwa tayari kwa safari ya Mwanza. Timu nzima ya Kampuni ya Proin Promotions Limited imeondoka leo jijini Dar Es Salaam kuelekea Mkoani Mwanza kwaajili ya kuendesha Shindano la Kusaka Vipaji vya Uigizaji Tanzania ambapo Kwa kuanza shindano hili …