Miss Ilala 2013, Doris Mollel ijumaa ya wiki iliyopita alitembelea shule ya msingi Pugu jijini Dar es Salaam na kukabidhi vitabu 50 za hadithi kwa wanafunzi wa shule hiyo katika harakati zake binafsi za kuwajengea wanafunzi na watoto utamaduni na tabia ya kujisomea kwenye umri mdogo. Miss Ilala huyo wa mwaka 2013 alitumia nafasi hiyo kuwahamasisha wanafunzi kujisomea kama ufunguo wa …
Shindano la Kusaka Vipaji vya Kuigiza Dodoma Lamalizika
Mmoja wa washiriki wa Shindano la kusaka Vipaji vya Uigizaji Tanzania, lijulikanalo kama Tanzania Movie Talents (TMT), akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani) mara baada ya kumaliza kwa zoezi la usaili katika shindano la TMT. Baadhi ya washiriki waliojitokeza kwaajili ya Kushiriki katika shindano la kusaka vipaji vya uigizaji wakiwa katika mstari tayari kwa kupewa fomu ya usaili ili …
Muhidini Maalim Gurumo Afariki Dunia, Ni Muasisi wa Mitindo ya Msondo, Sikinde na Ndekule
HABARI za kifo cha gwiji wa muziki nchini, Muhidini Maalim Mohammed Gurumo, zimeutikisa ulimwengu wa muziki. Tunaambiwa amefariki leo Jumapili Aprili 13 saa 9.00 alasiri katika hospitali ya Taifa Muhimbili kutokana na kusumbuliwa na tatizo la mapafu kwa muda mrefu. Miaka takriban minne iliyopita aliwahi kuzidiwa na kulazwa katika Hospitali ya taifa Muhimbili, na walilazwa pamoja na nguli mwingine wa …
Proin Promotions Limited Wawasili Dodoma Kumsaka Staa wa Kuigiza
Hatimaye kikosi kazi cha Proin Promotions Limited kimeshawasili mkoani Dodoma tayari kwa Kazi ya Kusaka vipaji vya kuigiza Katika Kanda ya Kati ambayo inawakilishwa na Mkoa wa Dodoma. Shindano hili linaendelea ambapo awali lilianzia Kanda ya Ziwa Mkoani Mwanza na hatimaye kupatikana kwa washindi watatu wa kanda ya Ziwa huku wakisubiri washindi wa Kanda nyingine kupatikana Kwaajili ya fainali kubwa …
Tanzania Movie Talents Yahamia Mkoani Dodoma…!
Hatimaye Kikosi Kazi cha Kampuni ya Proin Promotions Limited ambao ndio waratibu na waandaaji wa Mashindano ya Kusaka vipaji vya uigizaji Tanzania yajulikanayo kama Tanzania Movie Talents (TMT) kinaelekea mkoani Dodoma kwa ajili ya kuendelea na shindano la kusaka vipaji vya kuigiza katika Kanda ya Kati ambapo mashindano yatafanyika Mkoani Dodoma katika Ukumbi wa African Dream kuanzia Jumamosi ya tarehe …
Tatu Bora ya Waigizaji Wapatikana Mwanza
Janneth Emmanuel (kushoto), Cresenciah Herman (katikati) na Joshua Wambura Stanslaus ambao ndio washindi wa Shindano la kusaka vipaji vya kuigiza Tanzania lijulikanalo kama Tanzania Movie Talents wakiwa wanaonyesha zawadi zao za pesa taslimu shilingi laki 5 kila mmoja mara baada ya kutangazwa washindi wa Kanda ya Ziwa. Shindano la Kusaka VIpaji vya Kuigiza Tanzania lijulikanalo kama Tanzania Movie Talents limemalizika leo kanda …