Miyeyusho na Matumla Kuzipiga Mei 10

MPAMBANO wa masumbwi wa bondia Fransic Miyeyusho na Mohamed Matumla sasa utafanyika Mei 10 katika ukumbi wa PTA Sabasaba mpambano huo uliokuwa ufanyike Aprili 26 sasa umesogezwa mbele kumpisha bondia Miyeyusho ili acheze vizuri mpambano wake wa kimataifa unao mkabili dhidi ya Bondia Sukkasem Kietyongyuth kutoka Thailand mpambano utakaofanyika Aprili 19 katika ukumbi wa PTA Sabasaba. mpambano uhoutakaosindikizwa na ngumi za …

Kanda ya Kati Yawapata Wawakilishi Shindano la Kusaka Vipaji vya Kuigiza

Na Josephat Lukaza wa Proin Promotions Limited – Dodoma HII ni baada ya washindi watatu kutoka Kanda ya Kati kupatikana katika shindano la kusaka vipaji vya kuigiza lililoendeshwa na Kampuni ya Proin Promotion Limited (PPL). Fainali ya kuvisaka vipaji kwa kanda ya Kati  ilifanyika jana Mnamo tarehe 15 April 2014 Mkoani Dodoma na washindi kutangazwa na Jaji Mkuu wa shindano …

IDYDC 2014 World Malaria Day Soccer Tournament Yafana Mkoani Iringa

Mshambuliaji wa Shule ya Sekondari ya BaoBab ya Bagamoyo mkoani Pwani, Zuward Ally akiwatoka mabeki wa timu ya Upendo wakati wa Tamasha la Soka la kuadhimisha Siku ya Malaria Duniani 2014 lililoandaliwa na IDYDC na Grassrootsoccer kwa udhamini wa ExxonMobil, katika Uwanja wa Kituo cha Soka la Matumaini cha FIFA, mjini Iringa Mwishoni mwa wiki. Tamasha hilo lilihusisha wachezaji 80 vijana wa kike wenye umri …

Wananchi Waipongeza Proin Promotions Ltd Kupitia Tanzania Movie Talents

Washiriki wa Shindano la Tanzania Movie Talents ambao ni babu na mjukuu wake kiuhalisia wakipongezana mara baada ya kufanikiwa kuingia hatua ya tatu ya kutafuta washiriki 15 bora na hatimaye kupatikana washindi watatu bora wa kanda ya kati ambapo kila mmoja ataondoka na kitita cha shilingi laki tano za Kitanzania. Mmoja wa washiriki wa shindano la Tanzania Movie Talents akihojiwa …