Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Nape Nnauye akimkaribisha Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Huduma na Maendeleo ya Jamii, Mhe. Peter Serukamba (kulia) pamoja na Wajumbe wengine mara baada ya kuwasili katika Taasisi ya Sanaa na Utamaduni Bagamoyo (TaSUBA) kwa ajili ya kukagua mradi wa ukarabati wa taasisi hiyo, 17 Machi, 2017. Waziri …
Mjengoni Bandi Kufanya Uzinduzi Rasmi Machi 3 Triple A Sport Bar
wanamziki wa bendi ya mjengoni wakiwa wanafanya mambo ndani ya jukwaa la kiwanja cha nyumbani mjengoni Klabu. Habari picha na Woinde Shizza, Arusha BENDI mpya ya mziki wa dance ijulikanayo kwa jina la Mjengoni classic band inatarajia kufanya utambulisho wao rasmi kwa mara ya kwanza mapema march 3 katika ukumbi wa Triple A spot bar uliopo ndani ya Jiji la Arusha. Akiongea na waandishi wa …
Tigo Yawazawadia Washindi wa Digital Changemakers USD 40,000
Mkurugenzi wa Kampuni ya simu za mkononi Tigo, Diego Gutierrez akiongoea na wanahabari. wakati wa hafla ya kukabidhi hundi ya dola elfu 20 za kimarekani kwa kila mmoja kwa washindi wawili wa shindano la Tigo Digital Changemakers leo, Tigo kushirikiana na taasisi ya Reach for change ndio waliondaa shindano hilo.Pembeni Meneja Programu wa Reach for Change Tanzania Josephine Msambichaka na Meneja Huduma za …
G Nako Aweka Wazi, Napenda Sex
SIO kitu cha kushangaza tena ukikuta msichana ananyanyua simu na kumpigia kijana kumtaka kimapenzi. Wala haishangazi kukuta kijana ana wapenzi zaidi ya mmoja na pengine wote wanajuana kwenye mzunguko huo. Wala sio “surprise” tena kukuta vijana wamekaa kistoni, wakizungumza na kuchambua aina za mahusiano waliyonayo, kuanzia yale ya mbio fupi, mchepuko, friends with benefits na wakati mwingine mwenye wengi ndio …
East African Ngwasuma Original Band Yawapagawisha Wakazi wa Kilimanjaro
Kiongozi wa band ya East African Ngwasuma Original Band Kingombe Blaise wa pili kulia akiwa anafanya mambo katika ukumbi wa Filomena Bar uliopo Boma Ngo’mbe mkoani Kilimanjaro wakati wa onyesho lao walilofanya mwishoni mwa wiki hii. Waimbaji na wanenguaji wa bendi ya East African Ngwasuma Original Band wakiwa wanawapagawisha wakazi wa Bomang’ombe na mitaa yake. Wanenguaji wa band …
Steve Nyerere Afunguka Madai ya Chama Cha Mapinduzi Kudaiwa
MSANII wa Filamu nchini Steve Nyerere, leo amekutana na Waandishi wa Habari, ambapo katika mkutano huo amekanusha kuwa Wasanii nchini hawakidai Chama Cha Mapinduzi fedha kwa ajili ya Mradi wa Mama Ongea na Mwanao, wakati wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2015. Katika Mkutano huo STEVE NYERERE amesisitiza kuwa kilichosemwa na WEMA SEPETU kuwa anaidai CCM fedha ni …