Washindi wa Tanzania Movie Talents Nyanda ya Juu Kusini Wapatikana

Na Josephat Lukaza wa Proin Promotions Limited – Mbeya SHINDANO la Tanzania Movie Talents kwa Kanda ya Nyanda ya Juu Kusini, Mkoani Mbeya limefikia Tamati hapo jana kwa washindi watatu kutoka kanda hii ya nyanda ya juu Kusini kupatikana na kutangazwa na Majaji watatu. Washindi waliotangazwa na Jaji Mkuu wa Shindano hilo, Roy Sarungi kwa kushirikiana na Majaji wawili Single Mtambalike …

Shindano la Tanzania Movie Talents Mkoani Mbeya Laendelea

Kundi la Kwanza la Washiriki waliofanikiwa kuingia hatua ya pili ya Mchujo katika Mashindano ya Tanzania Movie Talents Mkoani Mbeya Wakipewa maelekezo kwaajili ya kuanza hatua ya mchujo.  Washiriki wa Shindano la Tanzania Movie Talents Mkoani Mbeya kanda ya Nyanda za Juu Kusini wakiwa katika mazoezi mara baada ya kukabidhiwa Muswada (script) ikiwa ni hatua ya pili sasa ya shindano …

Washindi Mbio za Tigo Ngorongoro Wazawadiwa

Kaimu Mhifadhi wa Mbuga ya Ngorongoro, Bw. Amio Amio ambaye aliyemwakilisha mgeni rasmi katika uzinduzi wa Mbio za Tigo Ngorongoro zilizofanyika jana Aprili 19, 2014 kuanzia Mbuga ya Ngorongoro na kuishia mjini Karatu akiongea machache wakati wa hafla ya kuwakabidhi washindi zawadi zao. Pembeni yake ni Mkurugenzi wa Kanda wa Kampuni ya simu ya mkononi ya TIGO, Brian Kalokola.  Mkurugenzi …

Vijana Shindano la Tanzania Movie Talents Mkoani Mbeya Wachujwa

 Mshiriki wa Tanzania Movie Talents akihojiwa mara baada ya kumaliza usaili katika Shindano la Tanzania Movie Talents linaloendelea muda huu katika Ukumbi wa Benjamin Mkapa uliopo Soko Matola Mkoani Mbeya   Baadhi ya washiriki waliojitokeza kwaajili ya kuhudhuria usaili wa Shindano la Tanzania Movie Talents wakijadiliana jambo kabla ya kuanza kwa usaili.    Washiriki waliojitokeza kwaajili ya kushiriki mashindano yya …

Mwanamuziki Chill Challa wa Skylight Band Azikwa

Baadhi ya waombolezaji wakibadilishana mawazo katikati ni mwanamuziki wa Skylight band Joniko Flower Waombolezaji wakiendelea kubadilishana mawazo wakati wakisubili mwili wa marehemu Kufika. Mkurugenzi wa Skylight Band akijadili jambo na Aneth Kushaba ili kuweka mambo sawa kabla ya mwili wa marehemu kuwasili. Gari iliyobeba mwili wa marehemu Chill Challa likiwasili nyumbani kwa marehemu. Ndugu na jamaa wakishusha mwili wa marehemu …

You think English is easy?

1) The bandage was wound around the wound. 2) The farm was used to produce produce. 3) The dump was so full that it had to refuse more refuse. 4) We must polish the Polish furniture.. 5) He could lead if he would get the lead out. 6) The soldier decided to desert his dessert in the desert.. 7) Since …