SHINDANO la Miss Dar City Center limezinduliwa rasmi jana na linatarajiwa kufanyika Mei 24 kwaka huu katika ukumbi ambao utatangazwa baade, huku likishirikisha warembo 15. Akizungumza katika uzinduzi huo jana, mratibu wa shindano hilo, Judith Charles alisema kuwa, mwaka huu shindano hilo litambapwa na vionjo tofauti tofauti ili kulifanya kuwa la aina yake. Judith alisema kwamba, wameangalia changamoto zilizotokea kwa waandaaji wa waliopita wa shindano hilo, …
Diamond Kiboko, Ambadili Jina Wema Sepetu…!
Na Mwandishi Wetu, dev.kisakuzi.com Dar MSANII maarufu wa muziki wa kizazi kipya anayeendelea kukubalika katika tasnia hiyo, Naseeb Abdul au maarufu kwa jina la Diamond Platinum sasa amembadili jina mpenzi wake waliyerudiana hivi karibuni msanii wa kuigiza filamu, Wema Sepetu. Diamond alijikuta akimbadili jina mpenzi wake bila kutegemea baada ya juzi usiku kujishindia tuzo saba katika vipengele tofauti alivyoshindanishwa kwenye …
Diamond Afanya Kufuru Tuzo za Kilimanjaro Muziki
Na Mwandishi Wetu, Dar MSANII wa muziki wa kizazi kipya Naseeb Abdul a.k.a Diamond Platinum usiku huu jijini Dar es Salaam amefanya kufuru baada ya kunyakua tuzo zote za vipengele tofauti alivyoshindanishwa kwenye Shindano la Tuzo za Muziki, maarufu kama ‘Kilimanjaro Tanzania Music Award’ (KTMA). Diamond alitwaa tuzo zote saba alizoshiriki kushindanishwa na kuweka historia katika mashindano hayo. Katika shindano …
Viatu Virefu Vyamuumbua Msanii Vanesa Mdee Jukwaani…!
Na Mwandishi Wetu, Dar UVAAJI wa viatu virefu bila kuwa na uzoefu navyo au kufanya mazoezi namna ya kuvitembelea usiku huu vilimuumbua msanii maarufu wa bongo fleva, Vanesa Mdee katika Ukumbi wa Mlimani City. Tukio hilo lilimkumba msanii Mdee akiwa katika jukwaa la Kilimanjaro Tanzania Music Award (KTMA) alipopanda kuchukua tuzo yake ya Mwanamuziki Bora wa R&B 2014. Msanii huyo …
BFT Yampongeza Waziri Bernard Membe
SHIRIKISHO la ngumi Tanzania (BFT) limetoa pongezi za dhati kwa Waziri wa Mambo ya Nchi ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe kwa jitihada alizofanya za kufanikisha kambi ya mazoezi kwa Timu ya Taifa ya ngumi inayojiandaa kushiriki mashindano ya jumuiya ya madola yatakayofanyika July, 2014 Nchini Scotland. “Kwa hakika ni mmoja wa watanzania ambae ameguswa na maandalizi ya …
Jhikoman Awasili Finland Tayari kwa Kazi
MWANAMUZIKI maarufu wa Reggae Afrika Mashariki, Jhikoman na mzuka wake wa Afrikabisa Band kutoka Mjini Bagamoyo, Tanzania ameshawasili nchini Finland kwa ziara ya miezi mitatu barani Ulaya. Mwanamuziki huyo alutua katika uwanja wa ndege wa HELISINK mapema Aprili 24 2014, ambako anataraijia kufannya maonesho makubwa ya kimataifa katika nchi za Ujerumani, Finland, Norway na kwingineko.