MSANII Lucas Mhavile a.k.a Joti baada ya kukaa kimya kwa muda sasa ameibuka na filamu yake mpya inayojulikana kama Joti Sanduku la Babu ambayo amecheza katika uhusika tofauti katika filamu hiyo. Akizungumzia filamu hiyo Joti alisema kuwa ametoka kivingine kabisa katika filamu hiyo, na kujinasiku kuwa kitu alichofanya kwenye filamu hiyo haijawai kutokea wala kufanywa na mtu yoyote yule katika …
Warembo Taji la Miss Dar City Center 2014 Watambulishwa
Mratibu wa shindano hilo, Judith Michael akizungumza na wanahabari, pamoja nae ni Mkufunzi wa warembo hao. ********* WANYANGE 20 wanao wania taji la Miss Dar City Center kesho Mei 16 mwaka huu watawasha moto vikali katika ukumbi wa Maisha Clab wakati wa shindano lao la Vipaji. Shindano hilo litaongozwa na wasanii, Rich Mavoko, Bonge la Nyau na TID ‘Mnyama’ wanataraji kuwaongoza …
Proin Kudhamini Ligi ya Mpira wa Miguu kwa Wanawake
Katibu wa Michezo kutoka Kampuni ya Proin, Godlisten Anderson akitambulisha viongozi wa kampuni ya Proin Promotions kwa waandishi wa habari wakati wa Mkutano na Waandishi wa habari uliofanyika leo katika Hoteli ya Southern Sun. Kampuni ya Proin imetangaza kudhamini ligi ya mpira wa miguu kwa Wanawake inayotarajiwa kuanza Mwezi wa Nane. Rais TFF, Mh Jamal Malinzi na Mwenyekiti wa makampuni …
Mtwara Waanza Mchujo Shindano la Tanzania Movie Talent
Kundi la Kwanza la Washiriki wa Kanda ya Kusini wakiwa katika picha ya pamoja kabla ya kupewa semina elekezi juu ya maswala mbalimbali kuhusiana na filamu na maisha kwa ujumla wakati walipofika katika ukumbi wa safari lounge kwaajili ya kushiriki kwenye shindano la Tanzania Movie Talents linaloendelea kufanyika Mjini Mtwara leo. Baadhi ya wafanyakazi wa Kampuni ya Proin Promotions …